Master minder wa Oct 7 kuuwawa hakuna tija ndugu? Hemu kumbuka kila kitu kilichotokea Oct 7 bila hata kumkumbuka Joshua Mtanzania kama bado utakuwa na msimamo wako.
Tija iwe 0 wakati hata wewe ukimaliza kuperuzi JF unaenda chooni kuwalilia marehemu hao?Acha kujiliwaza wewe!😂
Ulisoma kwenye sura/kifungu gani cha Mungu watu walienda chooni?Hiyo ni batili na upotofu Hozee!Kwa hiyo wewe ukimaliza kuperuzi jf chooni huendi?
Kwamba mwenzetu wewe fungo?
Unajua upinzani wa raia kwa serikali yao unaashiria anguko na mtikisiko wa hiyo serikali!??Tija iwe 0 wakati hata wewe ukimaliza kuperuzi JF unaenda chooni kuwalilia marehemu hao?Acha kujiliwaza wewe!😂
Ona huyu FALA anazungumza nini!!Kondoo kiuhalisia ni wewe na magaidi wenzako mnaokua brainwashed na mafundisho ya kiislamu ya uongo ya kusema muvamie nchi nyingine na kuua watu na kubaka wanawake na kuteka watu na kusema mnafanya kwa ajili ya allah mbwa nyie
Wapigwe tu hakuna namna, wakiitawala dunia hao mbwa watatuchinja kama kukuSiwashangai kondoo wa Tanzania.
Usipende kuongopa mkuu.Awamu ya kwanza Netanyahu aliondolewa madarakani na wananchi haohao kwa kutokuwa mwaminifu wa kusimamia ahadi zake kipindi cha kampeni baada ya kuwathibitishia wananchi wake kuwa endapo watamchagua hatawaachia wapalestina kipande chochote cha ardhi.
Kabla hata awamu yake ya kwanza hajaimaliza aliwachia wapalestina ukanda wa Gaza, hivyo wananchi walimfurusha madarakani kwa kushindwa kusimamia ahadi aliowaahidi kusimamia endapo wangemchagua kuwa waziri mkuu.
Kama ambavyo us walisema Russia wameingilia maandamano yaloenda kapitolIsrael kweli ni nchi ya kidomokrasia; haya maandamano yangetokea Iran now we could be talking different story. Ungeanza kusikia, "USA na mataifa ya magharibi yanachochea uasi na maandamano"
Yeah, lakini USA hakuua waandanaji, hata wanao Andaman wakitaka sharia laws still hawapigwi; sasa jaribu kufanya hivo kwenye nchi zinazo ongozwe kidini au nchi za kikominist au zilizo wahi kufata mambo ya kikominist, some people could be injured some could he killed. Wana demokrasia hawanaga upumbafu kama huo, Kenya is talking a lot about thisKama ambavyo us walisema Russia wameingilia maandamano yaloenda kapitol
Mkuu hawa wanaendeshwa na chuki binafsi za kidini.Wao kwa akili yao waarabu wote ni waislamu na kwa sababu wanawachukia basi kwao hawana haki na wala hawataki chochote kitachobadili hiyo chuki yao.Wanafahamu fika kuwa wapalestina ni mchanganyiko wa waislamu,wakristo na dini za asili.Hii vita ingekuwa ya kidini basi wakristo na makanisa yao wangesalimika.Lakini tumeona jinsi makanisa pia yakipigwa mabomu na watu kuuliwa ndani ya makanisa. Israel ni mkoloni kama walivyokuwa wakoloni wengine.Haiwezekani umpangie mtu anayetawaliwa kwa mabavu jinsi ya kutetea haki yake ya kuwa huru.Ona huyu FALA anazungumza nini!!
Wewe nani kakwambia mzozo wa Israel na Palestina ni wa kidini!??
Unazidi kudhihirisha UFALA NA UPUMBAVU KICHWANI MWAKO UNAVYOZIDI KUROPOKA.
Na una ushahidi gani kama Hamas aliua wanawake na kubaka wanawake Oktoba 7!?
Je unajua chanzo cha Oktoba 7!?
Unajua nani kaanza kati ya Hamas na Israel!??
Sio unakurupuka kuandika kama umetiwa ujiti wa makalioni na kuita watu majina yasiyofaa pasi na kujua chanzo cha mzozo.
Kama angekua ameanza Hamas basi BRAZIL,SPAIN,CUBA,BELGIUM,COLOMBIA wasingevunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel na kuwaita Israel magaidi.
Muwe munafuatilia vitu sio kuropoka tu kama mmelishwa sembe.
Nimemuona MPUUZI NA MPUMBAVU sana.Mkuu hawa wanaendeshwa na chuki binafsi za kidini.Wao kwa akili yao waarabu wote ni waislamu na kwa sababu wanawachukia basi kwao hawana haki na wala hawataki chochote kitachobadili hiyo chuki yao.Wanafahamu fika kuwa wapalestina ni mchanganyiko wa waislamu,wakristo na dini za asili.Hii vita ingekuwa ya kidini basi wakristo na makanisa yao wangesalimika.Lakini tumeona jinsi makanisa pia yakipigwa mabomu na watu kuuliwa ndani ya makanisa. Israel ni mkoloni kama walivyokuwa wakoloni wengine.Haiwezekani umpangie mtu anayetawaliwa kwa mabavu jinsi ya kutetea haki yake ya kuwa huru.
Waisrael hawataki Palestrina iwe huru ni kwa vile wapalestina wenyewe wamekataa kutambua uwepo wa taifa la Israel.Usipende kuongopa mkuu.
Kisa cha Netanyahu kutoka madarakani ni KESI ZA UHUJUMU UCHUMI NA UFISADI SIO KINGINE.
Na unatakiwa ufahamu kuna utofauti wa wananchi nini wanataka na utawala wa kizayuni nini unataka.
Wananchi wa Israel wanataka amani na ujirani mwema na Palestina ila utawala wa zayuni hautaki Palestina iwe huru.
Hakuna sehemu Palestina ilikataa kuitambua Israel,kama ipo lete hapa ushahidi.Waisrael hawataki Palestrina iwe huru ni kwa vile wapalestina wenyewe wamekataa kutambua uwepo wa taifa la Israel.
Kweli mashoga wa Iseael mmeamuaWembe ni uleule kuua magaidi na wananchi wanaowahifadhi wote , nyinyi anti-israel protests mnaongozwa na mihemko ya kiislamu mkitaka na nyie tutawaua tukiona mna dalili za ugaidi