tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Nchi pekee yenye Demokrasia Mashariki ya KatiHaya ndiyo yanayomsibu Natenyahu huko Israel.
View attachment 3144754
Zipo gharama za kulipa kwa kutokuwasikiliza wananchi ambapo madaraka ni dhamana tu.
View attachment 3144752
Wenye nchi wananchi.
View attachment 3144753
Mara zote wasio busara hukumbuka wakiwa wamekwisha chelewa mno!
Hiyo maana yake umekosa hoja.Ngamia wa biriani weye nenda msikitini ukaendelee kulishwa matango pori na ustaadh wako
Ma shaa Allah, siku hizi tunapiga mandi.Ngamia wa biriani weye nenda msikitini ukaendelee kulishwa matango pori na ustaadh wako
si dhani kama unakifahamu ulichoandikaWembe ni uleule kuua magaidi na wananchi wanaowahifadhi wote , nyinyi anti-israel protests mnaongozwa na mihemko ya kiislamu mkitaka na nyie tutawaua tukiona mna dalili za ugaidi
Nundu la ngamia tena lina futa kama hilo dude unalokalia ndo maana sie twapenda nundu yakheeMa shaa Allah, siku hizi tunapiga mandi.
Mandi ya kondoo usisikie utamu wake.
Aah mwenye hoja ni yule ambae anadandia vumbuzi za makafiri na kuzipeleka kwa allah wake, yani kuiba nyota hamjatosheka mmeanza hadi kuwaiba wakina chatgptHiyo maana yake umekosa hoja.
Niliwacha kuwashangaa kondoo zamani sana.
Wajingakondoo ndiyo waliwao.
Mtasubiri sana! Ndiyo kwanza njia ya kuwamaliza magaidi wa Kiislamu inasafishwa. Huku yuko Trump na pale Wizara ya Ulinzi yupo Israel Katz, mwamba yule hana mchezo ni lazima total victory. Na Trump ameisha mwambia Netanyahu kuwa mm utawala wangu ni wa kumaliza vita zote Duniani na wala siyo kuanzisha vita. Hivyo hakikisha unazimaliza hizi vita kabla mm sijaapishwa. Yaani complete your victory now. Ili iwe rahisi kwa Trump kuumaliza mgogoro wa Ukraine na Russia kwa majadiliano. Kaeni mkao wa kunyolewaHaya ndiyo yanayomsibu Natenyahu huko Israel.
View attachment 3144754
Zipo gharama za kulipa kwa kutokuwasikiliza wananchi ambapo madaraka ni dhamana tu.
View attachment 3144752
Wenye nchi wananchi.
View attachment 3144753
Mara zote wasio busara hukumbuka wakiwa wamekwisha chelewa mno!
Unafahamu hii aya inasema nini:Nundu la ngamia tena lina futa kama hilo dude unalokalia ndo maana sie twapenda nundu yakhee
SikitambuiUnafahamu hii aya inasema nini:
Qur'an 9:67. Wanaume wanaafiki na wanawake wanaafiki, wote ni hali moja. Huamrisha maovu na huyakataza mema, na huifumba mikono yao. Wamemsahau Mwenyezi Mungu, basi na Yeye pia amewasahau. Hakika wanaafiki ndio wapotofu. 67
Sikitambui
Netanyahu akbaaaar......Trump akbaaarKutoluwa Muislam ni kujikosesha maisha mema yasiyo na kiza.
Tazama unabyohangaika kupekuwa mitandao kusambaza chuki za kijinga, yote sababu yake nini?
Huujuwi tu Uislam na umesomea ujinga.
Ngoja nikuulize kidogo. Nahisi kuwa u kijana mdogo, au nimekosea?Netanyahu akbaaaar......Trump akbaaar
Wewe mwenyewe kondooo tuuuuSiwashangai kondoo wa Tanzania.
Imani yangu shakazulustanNgoja nikuulize kidogo. Nahisi kuwa u kijana mdogo, au nimekosea?
Hivi wewe ni wa imani ipi? Nifahamishe maana nimependa hiyo slogan yako ya "Netanyahu Akbar na Trump Akbar".