Israel kwenye kesi ya ICJ - nchi 52 kutoa ushahidi kuanzia Feb 19-26

MAGAIDI wa Hamas walishakataa two state solution.
Magaidi wa Hamas walipovamia 7/10 walitaka Israel wakimbilie wapi zaidi ya kujilinda kwa gharama yeyote?
Al Jazeera ndi hao hao HAMAS.
Waandishi wao wamehusika pakubwa 7/10 Kizz But.
Al Jazeera wao wanaripo vifo vya watoto na wanawake tu, as if hakuna mwanaume anayeuawa.
 
Israel,nchi yenye serekali na utawala,inakwenda shindana na raia wa kawaida.
HAMAS ni raia wa Kawaida?
1. Misri ingwafungia mipaka?
2. Jordan, Saudi Arabia, Lebanon , Syria zingewafungia mipaka?
3.Kwa taarifa yako WAARABU. NI WANAFK kuliko unafki wenyewe.
ISLAMI JIHAD, HEZBULAN, ISLAMI PATRIOT wote wanajifanya wanaunga mkono nMagaii ya kislamu ya Palestina lakini hawaruhusu wapalestina kukimbilia huko isipokuwa MAKAFIRI wa USA, CANADA, UJERUMANI , UK na Italy ndio wanawakaribisha WAPAELSTINA.

Unaita raia wa kawada hizo tunnels wamejenga IRAN, URUSI NA KOREA KASKAZINI.

#Endelea kupata habai zako kutoka TBC ya Palestina [AL JAZEERA.
]
 
BREAKING: SAUDI ARABIA SPEAK OUT IN THE ICJ AGAINST ISRAELI WAR CRIMES

“The Israeli occupation of the Palestinian territories over 5 decades led to the most heinous crimes

The current situation in the Gaza Strip is horrific and Israel continues to violate its international duties.”
 
Umesahau South Africa ni Makao Makuu ya Hamas.
 
Acha porojo za vijiwe vya mbege.

Jordan's King Abdullah II gave a similar message a day earlier, saying, “No refugees in Jordan, no refugees in Egypt.” Their refusal is rooted in fear that Israel wants to force a permanent expulsion of Palestinians into their countries and nullify Palestinian demands for statehood.

Hata ufahamu lolote kuhusu Mashariki ya kati.
 
Kwahiyo wanafungiwa kama Panya bandani wafie hapo?
Wangekuwa hawataki kukimbia si wangewatia hao magaidi wa kislamu huo mapangoni?
Maandamano ya waislamu waliokirimiwa na wakristu wa kizungu huko Canada, US na Ufaransa si wangekimbilia nchi za kiarabu au waarabu wangeandamana hizo nchi zisiwapokee wapalestina?

#Muda utasema, wewe endelea kutetea wauaji.
 
Umesahau South Africa ni Makao Makuu ya Hamas.
HAMAS,Urusi mna Korea Kaskazini wanaitumia South , watakuja kujuta kwa ujinga wao kwakuwa "Israel imeapa yaliyotokea 7-10 yatajutiwa kwa miaka na mikaka!
 
So , Should Israel remove its holly IDF and leave his people under captivity of Islamic jihad and HAMAS?
 
Kazi unayo wewe kushinda JF huku unaumwa UTI sugu.
Wamekosa kazi. Mpaka leo Israel bado inashikilia eneo la Golani, UN imeshindwa kupeleka vikosi ili IDF waondoke, sembuse miji ya Israel eti ichukuliwe na kupewa hamas? Israel hawezi kukubali mwenyewe nguvu atapeleka jeshi ili linateketea middle East.
 
Kuna kitu inaitwa FANTASY, watu hawataki ku -reason.
Namuuliza mtu, vaaa viatu vya waziri mkuu wa Israel , umevamiwa, mke anabakwa kwa zamu mbele ya mume na watoto wake. Mke anachinjwa, watoto wanachinjwa na baba anapigwa risasi huku magaidi ya ki-HAMAS yakimuita "mungu wa" kwa jina wanalojua, utafanyaje?
!. Kaa kimya.
2. Kimbia .
3. Waomba msamaha waliokubakia raia na kuua 1200.
4. Lipiza kisasi, na kufuta kabisa wauaji?
 
Naibu Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Petra De Sutter, alisema Ubelgiji imeingilia kati kesi ya ICJ kuhusu kuikalia kwa mabavu Palestina kwa Israel. Alisisitiza umuhimu kwa Israeli kusitisha shughuli zote za makazi, kutoa fidia, na kuhakikisha kutorudiwa.
 
Hivi ICJ wanasimulia tu stori au wanaongea kwa vifungu vya sheria kuonesha ni wapi Israel wamekeuka sheria? Make naona mtoa mada anatoa taarifa kama masimulizi tu bila kusema vifungu gani zimekiukwa na Israel!
 
Israel definitively banned from the African Union
African Union says Israel’s observer status suspended
Au badala ya kushugulikia na Mambo yao ya migogoro ya Sudan na drc inajipendekeza kwenye Mambo yasiyowahusu
 
Naibu Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Petra De Sutter, alisema Ubelgiji imeingilia kati kesi ya ICJ kuhusu kuikalia kwa mabavu Palestina kwa Israel. Alisisitiza umuhimu kwa Israeli kusitisha shughuli zote za makazi, kutoa fidia, na kuhakikisha kutorudiwa.
Vyema sana, anze na hao panya waliojificha ardhini , waliobaka na kuua, waliobaka mabinti mble ya wazaziwao. Hao panya walipe, walipe gharama na trauma alafu waachie mateka 200 ndio sasa waje mezano.
Panya hao hao walipe watanzania 2 walio waua. Walipe familia zao na Tanzania.
Baada ya hapo Israel itakaa mezani na hao PANYA vinginevyo wanafutwa kwenye uso wa dunia watabaki WAPALESTINA wasafi na si hao panya.
Panya wakisha sasa inafuata wanaoshabikia panya.
 
Hizo propanga hata Israel wenyewe wameishachana nazo baada ya kuombwa ushahidi, Biden, aliulizwa kuna ushahidi hata binti mmoja kajitokeza kasema kabakwa Biden akajibu mimi sijui waulize Israel😂 wamebakia mapunguani tu Waisrael weusi wa Uyole ndiyo wanahangaika nazo.

 
aloo! Long walk for freedom ndio hii sasa!

wewe sikushangai maana Biden si myahudi wala si rais wa Israel so alikuwa sawa kujibu hivyo.
Pili, kama Watanzania mashabiki wa magaidi ya kiislamu mmethubutu kusema watanzani wenzenu wawili hawajauliwa na hamas na ile clip ni. uongo seuze jambo la wayahudi kubakwa na kuchinjwa hadharani mtakubali?

nikujuze tu, mpaka jana walikuwa wamekufa wapalestina 30,000 , wasipoachia mateka Israel itaendelea tu, hayo maazimio ya UNGA's sijui resolution 2027 yatapigwa chini kwa turufu ya USA kama vile ambavyo Russia huwa inapinga kabisa any resolution ya Israel kujilinda.
Denmark anatoa ndege na drones kwa Israel kujilinda.
Endeleeni na ushabiki.
 
we bwege si uhamie huko Palestina ndio ujue km hujui maana watakuwa wanakuita nyani. Eti waislamu ni ndugu zetu. Mwarabu ni mwarabu, tena ni kiumbe katili sana, sema tu uwezo wao ni mdogo kuliko muisraeli. Nani aliwatuma hao HAMAS kuvamia ISRAELI mwaka jana mwezi wa 10? Hao washenzi watamalizwa
 
Wapalestina wametuulia Watanzania wawili, jamaa wamejitetea mpaka mwisho na wakauliwa kwa kupigwa risasi nyingi alafu panya buku kutoka Tanzania wanawatetea eti walikuwa kwenye jeshi la Israel wakati wanajua exchange program ya SUA na vyuo Israel.

Mijitu ni mibaguzi inaita binadamu wenzao KAFIRI alafu bado mpo nayo tu.
Hivi kweli hata kama mwenzako anabudu shetani na wewe unaamini unamwabudu mungu si umshawishi kumuhutu nduguyo amuamini mungu badala ya kumuhukumu kwa majina ya mashetani "kafiri"?

Hawa jamaa huwaga hawana akili, sijui wanawaza nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…