Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Tuliaminishwa humu HAMASI anashinda vita za mtaa kwa mtaa tena mwanzoni ile 7 Oct 2023 tuliambiwa safari hii Mazayuni wakae mkao wa kula na wakijaribu tu kuvamia nchi za Kiislam zitawapiga nje ndani.
Mwisho matokeo
1. Angalau sifa kwa Hezibullah wa Lebanon
2. Houthi wa Yemen.
3. South Africa judges
Na sasa nchi 52 na mashiriki 3 ya kimataifa yanalia . Hawa Jews HATARI sana na HAWASIKILIZI yaani kama mtu hawaelewi hawa asome historia.
Hawa wanajielewa wenyewe na dunia ikikaza sana kuwahukumu hata wale wapinzani ndani ya nchi wanageuka wanakuwa kitu kimoja.
Hakuna cha Iran wala nani wanahofia wala USA labda tu watu hatujui ile Federal Reserve Bank ya USA ni private bank na inamilikiwa na Jews wa Rothchild family
Nimeshangaa sana tunafuata mkumbo eti AU( umoja wa Afrika ) uko kule kutetea haki za wapalestina huku DRC hakukaliki, Somalia na umaskini wa kutupwa wa bara zima Trump alikuwa sahihi kusema bado tubahitajika tutawaliwe ili kusaidiwa . Sasa hivi nchi za afrika zinagombaniwa na USA, Russia na China nani afanye koloni lake la kiuchumi na viongozi wote wa afrika na suit zao hawaoni hili. Shame on us.
Eti south afrika analinganisha kinachofanyika Gaza sawa na apartheid sio kweli. Mzungu alivamia south na kubagua waafrika lkn kule Israel- Palestina . Wote ni eneo lao achana na mawazo eti Israel ilianza 1948 kabla ya hapo ilikuwa wapi?. Kile kinaendelea ni upuuzi wa ideology za ki zion na islamic ambazo zinaona kila mmoja imani yake ndio ina Mungu.
Lakini kile kimefanyika 7 Oct ni muendelezo wa Wapalestina wakijaribu kujiweka huru.
Lakini pia kile kinaendelea Gaza ni kujaribu kujilinda kwa Israel na tukio la 7 Oct na mbaya zaidi Hamasi wanatumia ngao za raia kujikinga.
Kifupi acheni watwangane tu na imani zao mbovu juu ya Mungu