-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 845
- 1,501
Get busy na kutafuta pesa uishi maisha ya furaha na raha kabla hujafa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mnasema hao watoto ni Hamss wanatakiwa kuuliw
Wewe si upo Makete unakula unakunya unaweza kusema lolote, wapelesina wanaishi gerezani miaka yote wanateswa miaka yote wewe uwezi kuona lazima utawawalaumu Hamas na kuwaita majina yote unqjuq jelq za Israel zimejaa Wapelestina wangapi? Watoto, wanawake, Wazee. palestina kuna Bahari lakini hawaruhusiwi hata kuvua dagaa. Fuatilia kesi utajua mengi.Ukiwa mzazi mjinga utaleta tatizo la familia. Waswahili walisema
"Kila mchuma janga hula na nduguze"
Hapa Hamasi ni wakulaumiwa walifanya estimation mbovu kwa hiyo sasa wanasubiri huruma za mataifa. Aliyewadanganya na kuwapa silaha za mwanzo yuko kimya
Ni ujinga
Wewe si upo Makete unakula unakunya unaweza kusema lolote, wapelesina wanaishi gerezani miaka yote wanateswa miaka yote wewe uwezi kuona lazima utawawalaumu Hamas na kuwaita majina yote unqjuq jelq za Israel zimejaa Wapelestina wangapi? Watoto, wanawake, Wazee. palestina kuna Bahari lakini hawaruhusiwi hata kuvua dagaa. Fuatilia kesi utajua mengi.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1760384955962605722?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
This move is inconsequential to the Jewish state.Israel definitively banned from the African Union
African Union says Israel’s observer status suspended
Wanakumbi.
🚨🇮🇱ISRAEL KWENYE KESI YA ICJ - NCHI 52 KUTOA USHUHUDA KUANZIA FEB 19-26
Kesi za ICJ zitaendelea hadi Februari 26. Baadaye, majaji wanatarajiwa kuchukua miezi kadhaa kujadili kabla ya kutoa maoni ya ushauri.
Kikumbusho: Hata iwe uamuzi gani, ni juu ya nchi kote ulimwenguni kutunga "matokeo" yoyote ambayo mahakama itaamua, ikiwa yapo.
Chanzo: Al Jazeera
View: https://x.com/marionawfal/status/1759495060087837058?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Up date…
========================
BREAKING: MWAKILISHI WA AFRIKA KUSINI KWENYE ICJ KUHUSU UHALIFU WA ISRAEL
"Makazi yote lazima yavunjwe na suluhisho la serikali mbili kutekelezwa."
"Israel inakiuka sana sheria za kimataifa na lazima ikomeshwe."
"Ghasia za Israel na mashambulizi dhidi ya Gaza ni kinyume na sheria za kimataifa
Mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza ni ya kutisha kuliko utawala wa kibaguzi
Wananchi wa Palestina lazima waruhusiwe kutumia haki yao ya kujitawala
Kinachofanywa na Israel kinazidisha hali ya Wapalestina na kuwafanya kuwa mbaya zaidi
Wapalestina huko Gaza wanaishi katika eneo lililotengwa na lisilo na umoja na wanazingirwa na vikosi vya Israeli.
Uvamizi wa Ukanda wa Gaza unakiuka haki za kuishi, na Israel lazima iwajibike kwa matendo yake.
Israel ilifanya uhalifu mkubwa zaidi dhidi ya watu wa Palestina, ambao ni mauaji ya halaiki
Wapalestina wanakabiliwa na kizuizini kinyume cha sheria kinachoitwa kizuizini cha utawala
Jumuiya ya kimataifa kwa ujumla lazima iandae taratibu za kuheshimu haki ya kujitawala ya watu wa Palestina
Unyakuzi wa Israel wa ardhi za Wapalestina kwa nguvu ni kinyume cha sheria na ni uchokozi
Tunatoa wito wa kuondolewa kwa jeshi la Israel katika maeneo ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu kwa sababu inakiuka sheria za kimataifa.
Hatua zinazochukuliwa na Israel zinazuia haki ya Wapalestina kujitawala
Israel lazima ifuate sheria za kimataifa, haswa sheria za kibinadamu, katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
Kuendelea kwa Israel kujenga vitongoji vya walowezi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ni ukiukaji wa Mkataba wa Geneva.
Siyo wewe comedy. Sema wewe comedian. Lugha ya watu hiyo.Wewe comedy endelea kubust huu uzi tumeishakuzoea😂
Comedy.Siyo wewe comedy. Sema wewe comedian. Lugha ya watu hiyo.
Waisrael wote wanaenda kufungwa sasa. Wameshtakiwa? Nchi yao itabaki bila mtu. Lakini sasa tunachanganyana kidogo. Tulikubaliana sisi tutakaza humu hakuna kuonesha tumeshindwa. Sasa hii watu si watachukulia ni kama kulia lia? Tujikaze
That doesnt need a dictionary sheikh. Comedy it is a noun. Its adjective is Comedian. We say, you are a comedian. Not you are a comedy. Na hujaelewa waliposema is a genre. Ungeuliza kwa wanaofahamu hii lugha ya kibeberu. Mtu hawezi kuwa genre... 😁 Mnaposoma neno kwenye dictionary soma na functions zake pia.Comedy.
is a genre of fiction that consists of discourses or works intended to be humorous or amusing by inducing laughter, especially in theatre,
Endelea kuchekesha wakati tunasubiri habari kutoka mahakamani.
Sawa mzee wa The Comedy.
BREAKING: MWAKILISHI WA CHINA MA XINMIN ALITOA HOJA IFUATAYO KWA ICJ KUHUSU UHALIFU WA ISRAELThat doesnt need a dictionary sheikh. Comedy it is a noun. Its adjective is Comedian. We say, you are a comedian. Not you are a comedy. Na hujaelewa waliposema is a genre. Ungeuliza kwa wanaofahamu hii lugha ya kibeberu. Mtu hawezi kuwa genre... 😁 Mnaposoma neno kwenye dictionary soma na functions zake pia.
BREAKING: MWAKILISHI WA CHINA MA XINMIN ALITOA HOJA IFUATAYO KWA ICJ KUHUSU UHALIFU WA ISRAEL
Anasema kuwa China "imeunga mkono mara kwa mara sababu ya haki ya watu wa Palestina katika kurejesha haki yao halali".
"Rais wa China Xi Jinping amesisitiza mara kadhaa kwamba China inataka usitishaji vita kamili na suluhisho la mapema la suala la Palestina kwa msingi wa suluhisho la serikali mbili kupitia mazungumzo," alisema.
"Katika kutafuta haki ya kujitawala", anasema, matumizi ya nguvu ya watu wa Palestina "kupinga ukandamizaji wa kigeni" na kukamilisha uanzishwaji wa nchi huru ni "haki isiyoweza kuepukika".
Unadhani China rafiki yako
![]()
For China, Islam is a ‘mental illness’ that needs to be ‘cured’
China’s relentless campaign to erase the identity of the Uighurs continues, as the world remains silent.www.aljazeera.com
Safi sana. Enheeeeh.... Endelea. Maana taarifa za mapambano sasa hatuzipati tena kuna taarifa za kulia na kuomba kuonewa huruma. Israel wameshafungwa au bado?BREAKING: MWAKILISHI WA CHINA MA XINMIN ALITOA HOJA IFUATAYO KWA ICJ KUHUSU UHALIFU WA ISRAEL
Anasema kuwa China "imeunga mkono mara kwa mara sababu ya haki ya watu wa Palestina katika kurejesha haki yao halali".
"Rais wa China Xi Jinping amesisitiza mara kadhaa kwamba China inataka usitishaji vita kamili na suluhisho la mapema la suala la Palestina kwa msingi wa suluhisho la serikali mbili kupitia mazungumzo," alisema.
"Katika kutafuta haki ya kujitawala", anasema, matumizi ya nguvu ya watu wa Palestina "kupinga ukandamizaji wa kigeni" na kukamilisha uanzishwaji wa nchi huru ni "haki isiyoweza kuepukika".
UK ship on fire in Gulf of Aden after strike by Yemeni forcesSafi sana. Enheeeeh.... Endelea. Maana taarifa za mapambano sasa hatuzipati tena kuna taarifa za kulia na kuomba kuonewa huruma. Israel wameshafungwa au bado?