Israel kwenye kesi ya ICJ - nchi 52 kutoa ushahidi kuanzia Feb 19-26

Get busy na kutafuta pesa uishi maisha ya furaha na raha kabla hujafa.
 
Ukiwa mzazi mjinga utaleta tatizo la familia. Waswahili walisema
"Kila mchuma janga hula na nduguze"
Hapa Hamasi ni wakulaumiwa walifanya estimation mbovu kwa hiyo sasa wanasubiri huruma za mataifa. Aliyewadanganya na kuwapa silaha za mwanzo yuko kimya
Ni ujinga
Si mnasema hao watoto ni Hamss wanatakiwa kuuliw
 
Wewe si upo Makete unakula unakunya unaweza kusema lolote, wapelesina wanaishi gerezani miaka yote wanateswa miaka yote wewe uwezi kuona lazima utawawalaumu Hamas na kuwaita majina yote unqjuq jelq za Israel zimejaa Wapelestina wangapi? Watoto, wanawake, Wazee. palestina kuna Bahari lakini hawaruhusiwi hata kuvua dagaa. Fuatilia kesi utajua mengi.


View: https://x.com/megatron_ron/status/1760384955962605722?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Mi nina huruma kukupita wewe bila kujali ni mpalestina au myahudi kila mtu ana haki mbele za Mungu. Lkn waarabu wanawaponza wapaalestina. Mfano 1967 nchi za kiarabu zilijiunga kuwafuta ktk uso wa dunia ile vita ya siku 6 matokeo yake wayahudi wakapanua maeneo na kuyakalia. Hii kitu usiangalie kwa jicho mmoja kuwa hakimu wa Haki.
 
Israel definitively banned from the African Union
African Union says Israel’s observer status suspended
This move is inconsequential to the Jewish state.
 
Heeeeh.... Sasa Israel inaenda kufungwa... Nchi yao itabaki tupu Tutapewa Wapalestine. Safi sana. Na sisi pia tukatoe ushahidi.
 
Heeeeh.... Sasa Israel inaenda kufungwa... Nchi yao itabaki tupu Tutapewa Wapalestine. Safi sana. Na sisi pia tukatoe ushahidi.
Wewe comedy endelea kubust huu uzi tumeishakuzoea😂
 
Wewe comedy endelea kubust huu uzi tumeishakuzoea😂
Siyo wewe comedy. Sema wewe comedian. Lugha ya watu hiyo.

Waisrael wote wanaenda kufungwa sasa. Wameshtakiwa? Nchi yao itabaki bila mtu. Lakini sasa tunachanganyana kidogo. Tulikubaliana sisi tutakaza humu hakuna kuonesha tumeshindwa. Sasa hii watu si watachukulia ni kama kulia lia? Tujikaze
 
Comedy.
is a genre of fiction that consists of discourses or works intended to be humorous or amusing by inducing laughter, especially in theatre,

Endelea kuchekesha wakati tunasubiri habari kutoka mahakamani.

Sawa mzee wa The Comedy.
 
Comedy.
is a genre of fiction that consists of discourses or works intended to be humorous or amusing by inducing laughter, especially in theatre,

Endelea kuchekesha wakati tunasubiri habari kutoka mahakamani.

Sawa mzee wa The Comedy.
That doesnt need a dictionary sheikh. Comedy it is a noun. Its adjective is Comedian. We say, you are a comedian. Not you are a comedy. Na hujaelewa waliposema is a genre. Ungeuliza kwa wanaofahamu hii lugha ya kibeberu. Mtu hawezi kuwa genre... 😁 Mnaposoma neno kwenye dictionary soma na functions zake pia.
 
Eti nchi zote zipo upande wa hamas acha kudanganya umma.
 
BREAKING: MWAKILISHI WA CHINA MA XINMIN ALITOA HOJA IFUATAYO KWA ICJ KUHUSU UHALIFU WA ISRAEL

Anasema kuwa China "imeunga mkono mara kwa mara sababu ya haki ya watu wa Palestina katika kurejesha haki yao halali".

"Rais wa China Xi Jinping amesisitiza mara kadhaa kwamba China inataka usitishaji vita kamili na suluhisho la mapema la suala la Palestina kwa msingi wa suluhisho la serikali mbili kupitia mazungumzo," alisema.

"Katika kutafuta haki ya kujitawala", anasema, matumizi ya nguvu ya watu wa Palestina "kupinga ukandamizaji wa kigeni" na kukamilisha uanzishwaji wa nchi huru ni "haki isiyoweza kuepukika".
 
Unadhani China rafiki yako

 
BREAKING: MWAKILISHI WA IRAQ HAYDAR SHIYA AL-BARRAK ALITOA HOJA IFUATAYO KWA ICJ KUHUSU UHALIFU WA ISRAEL.

Iraq inatoa wito kwa Mahakama ya Dunia kuheshimu amri za awali za mahakama dhidi ya Israel, kama vile vifungu vilivyoamriwa baada ya kesi ya mauaji ya halaiki ya Afrika Kusini, "kusimamisha mashine ya mauaji ya kimfumo dhidi ya watu wa Palestina".

"Tunatumai kwamba dhamira ya mahakama ya kutekeleza haki itasababisha maamuzi ya ziada ... ikithibitisha kujitolea kwake kukomesha kampeni ya mauaji ya halaiki na kuzuia vitendo vya mauaji ya kimbari pamoja na sera za unyanyasaji, vikwazo na njaa dhidi ya watu wa Palestina," alisema. .

Mwakilishi wa Iraq amemaliza mada yake kwa ICJ kwa kusema kuwa nchi yake "ina wasiwasi mkubwa kuhusu mateso ya kibinadamu wanayofanyiwa Wapalestina katika jimbo lote la Palestina, haswa katika Ukanda wa Gaza".
Al-Barrak aliangazia "vitendo vya kinyama" vilivyofanywa na Israel, vikiwemo "mashambulio ya anga na mashambulizi ya roketi yanayolenga raia".

"Vitendo hivi vinajumuisha uhalifu wa kivita unaotekelezwa kwa nia ya jinai" na ni ukiukaji mkubwa wa sheria za vita, alisema, akiongeza kuwa Israel "lazima iwajibike".

Al-Barrak alihitimisha kwa kuitaka ICJ kufanya maamuzi "yanayolinda maisha ya wanaume, wanawake, watoto na wazee wa Palestina, kuwaruhusu kufurahia maisha yenye heshima na salama ambapo haki zote za binadamu zinapatikana".
 
Safi sana. Enheeeeh.... Endelea. Maana taarifa za mapambano sasa hatuzipati tena kuna taarifa za kulia na kuomba kuonewa huruma. Israel wameshafungwa au bado?
 
Safi sana. Enheeeeh.... Endelea. Maana taarifa za mapambano sasa hatuzipati tena kuna taarifa za kulia na kuomba kuonewa huruma. Israel wameshafungwa au bado?
UK ship on fire in Gulf of Aden after strike by Yemeni forces

A UK-owned ship is set on fire off the southern coast of Yemen after being struck in a missile attack in the Gulf of Aden.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…