Ukiona dini unatakiwa uipambanie kwa kuuwa watu achana nayo , siungi mkono kuuwa watu kwa namna yoyote ileBro hapo hakuna tofauti na hili" mtu anaua watu tena sokoni anasa Mungu ni mkubwa, hao ni wajinga siyo
Unakuta mtu ana akili zake timamu anaua watu sokoni kwa kujilipua nasema Mungu mkubwa!
Ni mandiko tu hao wanaosema hivyo na hao wanaua watu kwa jina la Mungu . Au unasemaje wewe usiye na akili!
Gaza hawajawahi kuwa na amaniTatizo la gaza amani waliyokuwa nayo walishindwa kuithamini. wakaona ni bora wakamchokoze mchokozi na madhara yake ndio hayo
Sa we kweli uko sawa kuna vita haina handanka, majeshi yote duniani yanatumia handaka we huoni Ukraine na Mrusi hawatumi handakaSasa hayo mahandaki yapo hewani?!! Vita ya urusi unaifananishaje na ya Gaza? Mrusi anajua kuwa wanajeshi wa ukraine wako wapi, sasa hao Hamas wanaonekana wako wapi?!! Eti taifa la Israel liko mwishoni hahaaaa!! Acha watoe kipondo,
Unakuta MTU na akili zake timamu anakuambia Israeli taifa teule ,How!
Tuliwaambia mapema huyo Israel hachokozwagi kihuni hamkusikia
" Kazi ya kusamehe magaidi ni ya MUNGU , kazi ya kuyapeleka magaidi Kwa Mungu ni ya Israel" waziri wa ulinzi wa Israel.
Moderators nawaaminia kwa ubora wa kazi zenu tokana na hii habari.Hawa wakristo akili hawana mtu anayesema Mungu ni binadamu mnadhani yuko sawa.
Israel hi vita hashindi hata avunje majumba yote ya Gaza
Nakuhakikishia Israel anatufuta njia ya kuomba vita iishe yeye na Amerika, lakini hawana jinsi wanaona aibu kusema vita hi tusimamishe sababu aliahidi lazima awamalize Hamasi.
Msikie huyu Gen wa US amesema Israel hawezi wapiga Hamasi hata kwa miaka 18 ni kichaa, nyie ndio mna akili kuliko yeye. Hata kama kuna mengine anaongea uwongo lakini ukweli Israel hawezi pigana na Hamasi
View: https://youtu.be/gPgDFHacUG4?si=QBkiXlCcfHL0mg8p
1. Handanka ❌.Sa we kweli uko sawa kuna vita haina handanka, majeshi yote duniani yanatumia handaka we huoni Ukraine na Mrusi hawatumi handaka
Swali kuna nchi uliona Ina wache adui inapiga majumba 😂
Hajashinda vita anapigika kila siku na anapoteza ardhi yake.. Palestine inaelekea kushinda kwani imeshakomboa miji yake yote na kuwafurusha wayahudi..Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.
Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.
Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
We unaongea kama Biden yani alicho ongea Natanyahau unakiamini kama mlivyo muamini Luke, Matthew, John na Mark kuwa Israel ni taifa teule 😂Basi itoshe mnapowatetea wauaji wa watoto wa kiyahudi kujifanya hamna akili, Hao wapalestina waliua watoto, wanawake kwenye kumbi za starehe,kulikuwa na silaha huko, mkapongezana sana,.kwa jina la miungu yenu. Kama msingekuwa na unafiki japo kama jembe ya mchele leo hii kwa anachowafanyia wauji wa watoto na watekaji wa watu wake ,
Angalau mgeilaani Hamasi.
Kama adui anajificha katikakati ya watu ,ikiwa ili umfikie lazima wasio na hatia wafe , basi watakufa ili adui aangamizwe.
Vivyo hivyo ikiwa adui ameweka maficho katikati ya majumba yanayokaliwa na.watu lakini yeye anakaa ardhini, lazima ,narudia lazima majumba yavunjwe ili ngome za adui zifikiwe na kubomolewa.
Kinachofanyika Gaza kwenye vita kinakubalika kabisa. Wapalestina ni wauaji lazima wasakwe kwa gharama kubwa. Amani ya muda mrefu lazima.igharamiwe
Ndio lakini si bora mimi kuliko niamini Eti Yesu ni Mungu 😂1. Handanka ❌.
Handaki ✅.
Ina wache ❌.
Inaacha ✅.
Ulienda shuleni kusomea ujinga?
Wamepigika aisay mpaa wakiona shindano ziliopo Hospital wanadhani rockets za Hamasi 😂Piga wavaa pedo
Piga haooo
Pigaaaaaaa mbweha
Mahandaki yanakuwa chini ya majumba ya watu, na misikiti?!!! Na Gaza hata mapoli siyaoni kule!!!Sa we kweli uko sawa kuna vita haina handanka, majeshi yote duniani yanatumia handaka we huoni Ukraine na Mrusi hawatumi handaka
Swali kuna nchi uliona Ina wache adui inapiga majumba 😂
Shoga analilia lia America nisaidie, Joe tumepigwa sana Joe tuonee huruma, Joe yule mbwa wangu tufanye photophobia kuwa watoto wa Israel wamechinjwa 😂Hajashinda vita anapigika kila siku na anapoteza ardhi yake.. Palestine inaelekea kushinda kwani imeshakomboa miji yake yote na kuwafurusha wayahudi..
Ulisha fika Gaza au unaimba nyimbo za John 😂Mahandaki yanakuwa chini ya majumba ya watu, na misikiti?!!! Na Gaza hata mapoli siyaoni kule!!!
Hata kama cjafika lakini kama ukubwa wenyewe tu ni kama wilaya ya bagamoyo na population yake ni watu 2.3milioni kuna poli hapo??!Ulisha fika Gaza au unaimba nyimbo za John 😂
Urusi mwenyewe amevunja sana nyumba za raia wa UkraineHio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.
Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.
Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.