Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

Bro hapo hakuna tofauti na hili" mtu anaua watu tena sokoni anasa Mungu ni mkubwa, hao ni wajinga siyo

Unakuta mtu ana akili zake timamu anaua watu sokoni kwa kujilipua nasema Mungu mkubwa!
Ni mandiko tu hao wanaosema hivyo na hao wanaua watu kwa jina la Mungu . Au unasemaje wewe usiye na akili!
Ukiona dini unatakiwa uipambanie kwa kuuwa watu achana nayo , siungi mkono kuuwa watu kwa namna yoyote ile
 
Sasa hayo mahandaki yapo hewani?!! Vita ya urusi unaifananishaje na ya Gaza? Mrusi anajua kuwa wanajeshi wa ukraine wako wapi, sasa hao Hamas wanaonekana wako wapi?!! Eti taifa la Israel liko mwishoni hahaaaa!! Acha watoe kipondo,
Sa we kweli uko sawa kuna vita haina handanka, majeshi yote duniani yanatumia handaka we huoni Ukraine na Mrusi hawatumi handaka

Swali kuna nchi uliona Ina wache adui inapiga majumba 😂
 
Hamas, "mwana kulitafuta mwana kulipata".
Watulie na kula shubiri waliyoitengeneza wenyewe!

Vita havimalizwi kwa vita bali mazungumzo...haijalishi yatachukua miaka mingapi.
 
Hawa wakristo akili hawana mtu anayesema Mungu ni binadamu mnadhani yuko sawa.

Israel hi vita hashindi hata avunje majumba yote ya Gaza

Nakuhakikishia Israel anatufuta njia ya kuomba vita iishe yeye na Amerika, lakini hawana jinsi wanaona aibu kusema vita hi tusimamishe sababu aliahidi lazima awamalize Hamasi.

Msikie huyu Gen wa US amesema Israel hawezi wapiga Hamasi hata kwa miaka 18 ni kichaa, nyie ndio mna akili kuliko yeye. Hata kama kuna mengine anaongea uwongo lakini ukweli Israel hawezi pigana na Hamasi

View: https://youtu.be/gPgDFHacUG4?si=QBkiXlCcfHL0mg8p

Moderators nawaaminia kwa ubora wa kazi zenu tokana na hii habari.
 
Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.

Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.

Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
Hajashinda vita anapigika kila siku na anapoteza ardhi yake.. Palestine inaelekea kushinda kwani imeshakomboa miji yake yote na kuwafurusha wayahudi..
 
Basi itoshe mnapowatetea wauaji wa watoto wa kiyahudi kujifanya hamna akili, Hao wapalestina waliua watoto, wanawake kwenye kumbi za starehe,kulikuwa na silaha huko, mkapongezana sana,.kwa jina la miungu yenu. Kama msingekuwa na unafiki japo kama jembe ya mchele leo hii kwa anachowafanyia wauji wa watoto na watekaji wa watu wake ,
Angalau mgeilaani Hamasi.
Kama adui anajificha katikakati ya watu ,ikiwa ili umfikie lazima wasio na hatia wafe , basi watakufa ili adui aangamizwe.
Vivyo hivyo ikiwa adui ameweka maficho katikati ya majumba yanayokaliwa na.watu lakini yeye anakaa ardhini, lazima ,narudia lazima majumba yavunjwe ili ngome za adui zifikiwe na kubomolewa.
Kinachofanyika Gaza kwenye vita kinakubalika kabisa. Wapalestina ni wauaji lazima wasakwe kwa gharama kubwa. Amani ya muda mrefu lazima.igharamiwe
We unaongea kama Biden yani alicho ongea Natanyahau unakiamini kama mlivyo muamini Luke, Matthew, John na Mark kuwa Israel ni taifa teule 😂

Ukiweza nionyesha single picture watoto wa Israel wamechinjwa na Hamasi na uwacha Uislam sasa ivi, lakini na uhakika si wewe au Natanyahau mnaweza kuonyesha picture hizo.

Hamasi ni Waislam na uislam hauruhusu kuwauwa watu wasio na hatia Hamasi aliuwa wanajeshi tu tena zaidi ya 5000 ndio sababu Israel hamaki yake imeishia kuvunja majumba, hospital, misikiti na makanisa 😂

Tazama huyu mwanamke mjewish anasema nini.

View: https://youtu.be/l_Wo20pFTsg?si=jzEWpwIKfPQV8oR7
 
1. Handanka ❌.

Handaki ✅.

Ina wache ❌.

Inaacha ✅.

Ulienda shuleni kusomea ujinga?
Ndio lakini si bora mimi kuliko niamini Eti Yesu ni Mungu 😂

Au si bora kuliko niamini Israel ni taifa la Mungu 😂

Na nione kuvunja majumba na Hospital na misikiti na makanisa kuna silaha wakati hutujaona hata bunduki 😂

Israel kapigika aisay mpa anafikiria hospital ni barracks za Hamasi 😂
 
Sa we kweli uko sawa kuna vita haina handanka, majeshi yote duniani yanatumia handaka we huoni Ukraine na Mrusi hawatumi handaka

Swali kuna nchi uliona Ina wache adui inapiga majumba 😂
Mahandaki yanakuwa chini ya majumba ya watu, na misikiti?!!! Na Gaza hata mapoli siyaoni kule!!!
 
Hajashinda vita anapigika kila siku na anapoteza ardhi yake.. Palestine inaelekea kushinda kwani imeshakomboa miji yake yote na kuwafurusha wayahudi..
Shoga analilia lia America nisaidie, Joe tumepigwa sana Joe tuonee huruma, Joe yule mbwa wangu tufanye photophobia kuwa watoto wa Israel wamechinjwa 😂

Joe tuleteni silaha, Joe Hamasi katupiga kama watoto tusingizie alivamia raia pale kwenye Music festivals 😂
 
Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.

Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.

Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
Urusi mwenyewe amevunja sana nyumba za raia wa Ukraine

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom