Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

Hawa wakristo akili hawana mtu anayesema Mungu ni binadamu mnadhani yuko sawa.

Israel hi vita hashindi hata avunje majumba yote ya Gaza

Nakuhakikishia Israel anatufuta njia ya kuomba vita iishe yeye na Amerika, lakini hawana jinsi wanaona aibu kusema vita hi tusimamishe sababu aliahidi lazima awamalize Hamasi.

Msikie huyu Gen wa US amesema Israel hawezi wapiga Hamasi hata kwa miaka 18 ni kichaa, nyie ndio mna akili kuliko yeye. Hata kama kuna mengine anaongea uwongo lakini ukweli Israel hawezi pigana na Hamasi

View: https://youtu.be/gPgDFHacUG4?si=QBkiXlCcfHL0mg8p

Ktk Dunia ya majasusi. Israel tangu kubwa kwake mpaka leo hajawahi kushindwa nitaifa ambalo huwezi kuwafuta na huwezi kuwashinda. Na ukitaka potezwq touch them they will eliminate you.
 
Kuna tofauti kati ya Waisrael na Israel. Waisrael wanabadilika, Israel inabaki
 
Ktk Dunia ya majasusi. Israel tangu kubwa kwake mpaka leo hajawahi kushindwa nitaifa ambalo huwezi kuwafuta na huwezi kuwashinda. Na ukitaka potezwq touch them they will eliminate you.
😂 we ota nchi hio kila kitu inasaidiwa mwanaume hasaidiwi taifa linalo ngojea msada hilo si taifa la kushinda vita mpaa Canada anawapelekea silaha za kujikinga wasife lakini wanakufa tu

View: https://youtube.com/shorts/R1HgWKOMKJs?si=yZArBD7kCmrhstJz

Kuna vilema 1250 wacha wale waluo kufa zaidi ya 5000 😂
 
Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.

Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.

Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
Hamas wana tabia ya kushambulia wakitokea makanisani
 
Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.

Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.

Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
Kichapo cha sasa ni kuwafanya Arabs wasiwe tena na wazo la kushambilia Israel hata kwa kustukiza kuwa hasara itakuja kuwa kubwa sana so wakome... Arabs haelewi chochote bila kipigo kikali.. ukimzaba vibao hasikii chapa piga jiwe viwembe tia mijiti makalioni n.k ndio wataelewa... ila la Hospital limeonesha uongo mkuu wa Hamas na wadakia habari za juu juu na kuamini hapo hapo... mimi Siamini Habari za Hamas kamwe... kudai watu mia tano hadi mia 8 wamekufa baada ya kulipuliwa Hosptal wakati ni parking tena magari yamepangwa.. na Hospital inaendelea kufany akazi kama kawaida and bado wanashikilia msimamo wao idadi ya wafu kwenye huo mlipuko wakati ni uongo hii ni zaidi ya Taqiya.... na wamefanya Maombolezo ya siku tatu ni aibu kuu
 
Hamasi wako fit kabisa Israel wenzako wanalia huko 800,000 wameisha kimbia nje ya nchi, hotel zao zimejaa waisrael walio kimbia karibu na mpaka wa Gaza.

Hali ni mbaya sana hawezi kuvumilia mara ya kwanza Israel wananchi wake wanaishi kwenye ma tents

Kipigo bado Hamasi anawambia ana mengi bado atamfundisha adabu Israel hata sahau

Hio ya kuvunja majumba mimi naona ni kupoteza silaha tu angekuwa anazinunua asinge fanya ujinga huo.

1250 vilema hao ni wanajeshi tu na 5000 walio kufa Israel anaona haya kusema ukweli.
 
Yaani unaona mashoga wenzako watashinda ? Kitu hicho sahau waache wajilete tu wapate kichapo cha kisodoma
 
Wenzenu leo wamebadilisha tune walisema hutatiki kuongelea mambo ya matekwa mpaa tuwamalize Hamasi.

😂 kanyimbo kame badilika, sa tuko tayari kuongelea mambo ya matekwa.

Kuna nchi tumeongea nayo itusaidie kurudisha hao matekwa kwa njia ya mazungumzo

Wavaa nepi walijaribu kugusa Gaza kwa vifaru viwili walirudi mbio wakawacha vifaru vyao, hili ndio Jeshi au wacheza tarabu 😂
 
Hamasi wako fit kabisa Israel wenzako wanalia huko 800,000 wameisha kimbia nje ya nchi, hotel zao zimejaa waisrael walio kimbia karibu na mpaka wa Gaza.

Hali ni mbaya sana hawezi kuvumilia mara ya kwanza Israel wananchi wake wanaishi kwenye ma tents

Kipigo bado Hamasi anawambia ana mengi bado atamfundisha adabu Israel hata sahau

Hio ya kuvunja majumba mimi naona ni kupoteza silaha tu angekuwa anazinunua asinge fanya ujinga huo.

1250 vilema hao ni wanajeshi tu na 5000 walio kufa Israel anaona haya kusema ukweli.
Gaza inazidi kupendezeshwa na inapendeza!

God Bless Israel

🇮🇱🇮🇱🇮🇱
 
Hata Firauni alijidai yeye ni Mungu iwe hawa wanajita taifa teule wasizame.

Hivi unapata habari za Israel hali ilivyo au una furahia tu kuona majumba ya Gaza yanavyo vunjwa.

Huko wenzenu hawana sehemu za kulala, hoteli zimejazana wale walio kimbia miji karibu na Gaza wanaishi kwenye ma tents

Uchumi wao inasemekana hizo week mbili zinazo kuja hata America hataweza kuziba pengo hali ni mbaya sana.

Hamasi anawachakaza aisay wanazuia tu media wangewachia media zitoe kipigo wanacho pewa na Hamasi mngeidharau sana Israel 😂
 
Israel inapiga watu wasioweza kujitetea maana hata silaha tu za kawaida kama bunduki hawana yaani ni kama bondia anayepiga punch box halafu shabiki zake wanamsifia kwa umahiri wa kupigana.!
 
Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.

Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.

Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
Unajua Urusi alichokifanya Bucha, Bahmut na Mariopol?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la gaza amani waliyokuwa nayo walishindwa kuithamini. wakaona ni bora wakamchokoze mchokozi na madhara yake ndio hayo.
"Tatizo la gaza amani waliyokuwa nayo walishindwa kuithamini. wakaona ni bora wakamchokoze mchokozi na madhara yake ndio hayo". Aaamen.
 
Tuliwaambia mapema huyo Israel hachokozwagi kihuni hamkusikia
" Kazi ya kusamehe magaidi ni ya MUNGU , kazi ya kuyapeleka magaidi Kwa Mungu ni ya Israel" waziri wa ulinzi wa Israel.
Haka kausemi nimekapenda
 
Nguvu ya mashambulizi ya Israel imeonekana hapo jana na mapema leo, ambapo mashambulizi ya ndege za kivita yameendelea usiku kucha huko Gaza ambako tayari eneo kubwa limekuwa kifusi.

Sambamba na Gaza shambulio jengine limetokea tena leo huko ukingo wa Magharibi ambapo kombora limeua zaidi ya wapalestina 12 pamoja na uharibifu mkubwa wa msikiti na nyumba za jirani

Mashambulio mengine kama hayo yameendelea kule nchini Syria ambako Israel inasema nchi hiyo inaiunga mkono Hamas.

Wanadiplomasia wanaojihusisha na masuala ya Mashariki ya Kati wamesema mashambulizi hayo yanatoa mtihani mkubwa kwa mikataba iliyofanya Israel na mataifa ambayo wanaitetea Palestina,

Marekani nayo imeshusha shehena kubwa ya silaha kwa jeshi la IDF la Israel kutoka ndege za mizigo zisizopungua 45 katika kipindi cha siku 10 huku meli nyingine ya kivita ikiwa iko njiani kuelekea eneo hilo la vita.

US military equipment pours into Israel, 45 cargo planes loaded with armaments sent to IDF

hiyo bado kabisaa! atakayepigwa sana sio Hamas tuu wewe ngoja baba lao Iran wiki end hii atakapoonjeshwa jiwe la david lililomuua goliath! Vita hii asipopigwa Iran haitaleta maana maana iran kapeleka mabilion ya dola kwa hamas akauwe watu wasio na hatia Kibutz,.
 
"Tatizo la gaza amani waliyokuwa nayo walishindwa kuithamini. wakaona ni bora wakamchokoze mchokozi na madhara yake ndio hayo". Aaamen.
hawa jamaa viongozi wao wamesoma elimu ya dini na sio elimu dunia. sasa wamehitimu chuki ya kidini kwa wayahudi kupita kiasi. ule uchokozi walofanya wao wameona ni mzuri ila sasa kipigo wanachopata wanakimbilia kwa mashabiki wao duniani kote kutaka suppoti.
 
Hawa wakristo akili hawana mtu anayesema Mungu ni binadamu mnadhani yuko sawa.

Israel hi vita hashindi hata avunje majumba yote ya Gaza

Nakuhakikishia Israel anatufuta njia ya kuomba vita iishe yeye na Amerika, lakini hawana jinsi wanaona aibu kusema vita hi tusimamishe sababu aliahidi lazima awamalize Hamasi.

Msikie huyu Gen wa US amesema Israel hawezi wapiga Hamasi hata kwa miaka 18 ni kichaa, nyie ndio mna akili kuliko yeye. Hata kama kuna mengine anaongea uwongo lakini ukweli Israel hawezi pigana na Hamasi

View: https://youtu.be/gPgDFHacUG4?si=QBkiXlCcfHL0mg8p

mwaka 1967 wewe mwandishi ulikuwa na umri gani? mpigie simu hayatola komein akuambie mataifa 16 ya kiarabu yalipomshambulia Israel nani aliibuka mshindi na adhabu alowapa waaarabu ya kuteka ardhi zao mpaka wampigie magoti ili wazipate
 
Back
Top Bottom