Hawa wakristo akili hawana mtu anayesema Mungu ni binadamu mnadhani yuko sawa.
Israel hi vita hashindi hata avunje majumba yote ya Gaza
Nakuhakikishia Israel anatufuta njia ya kuomba vita iishe yeye na Amerika, lakini hawana jinsi wanaona aibu kusema vita hi tusimamishe sababu aliahidi lazima awamalize Hamasi.
Msikie huyu Gen wa US amesema Israel hawezi wapiga Hamasi hata kwa miaka 18 ni kichaa, nyie ndio mna akili kuliko yeye. Hata kama kuna mengine anaongea uwongo lakini ukweli Israel hawezi pigana na Hamasi
View: https://youtu.be/gPgDFHacUG4?si=QBkiXlCcfHL0mg8p
Ktk Dunia ya majasusi. Israel tangu kubwa kwake mpaka leo hajawahi kushindwa nitaifa ambalo huwezi kuwafuta na huwezi kuwashinda. Na ukitaka potezwq touch them they will eliminate you.