Yaani ma wewe unaamini huo upuuzi wa wachungaji wafanyabiashara kwa kuwakamua vijisenti vya kondoo kama wewe?Hakuna kipya
Yesu kupingwa si habari mpya
Kuna mengi yatakuja zaidi ya hayo
Alipigwa hata kipindi ambacho alikuja kutimiza kusudi la Baba mbele ya ishara zote alizoonyesha na Miujiza bado alipingwa na akateswa
Lenye kumwaga damu kila uchwao.Taifa teule la mungu
Yesu ni Mungu? [emoji848]Yesu Kristo ni Yeye yule, jana leo na hata milele. Yesu Kristo ni Mungu aliyehai.
Kumbe huyu Benja alisha rudi kwenye usukani?Wajumbe wawili wa Bunge la Israel(Knesset) wametambulisha muswada ambao ukiidhinishwa itakuwa ni kinyume cha sheria kuwaambia watu habari za Yesu kwenye Taifa la Israel na hukumu itakuwa kifungo kwa kila atakaekiuka.
Waandishi wa muswada huo, Moshe Gafni na Yaakov Asher ni kutoka jamii ya Orthodox. Ni miongoni mwa watu muhimu kwenye Bunge hilo lenye siti 64 linaloongozwa na waziri mkuu, Benjamin Netanyahu,
Kama ikipitishwa, adhabu itakuwa mwaka mmoja ukijadiliana na mtu mzima na miaka miwili ukijadiliana na mtoto chini ya miaka 18.
CHANZO=> Christian
View attachment 2568097
========
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kupitia akauti yake ya Twitter amesema Taifa hilo halitapitisha Sheria yeyote dhidi ya jamii ya Wakristo.
View attachment 2568145
Sawa mfia Saudia.wafia Israel watatufafanulia.
Zilongwa mbali zitendwa mbali,, hapa hatujadili tende wala mmisionari!, hapa ni wabunge wa Israel taifa teule wamepeleka muswada ya kuwa hawataki nchi yao tukufu mijadala inayohusiana na mungu yesu kristo huo ndio mjadala,,, hayo mengine mbambamba!!Mfuasi wa Mwarabu huwezi kuelewa. Waarabu wakati wanaeneza dini waliwaletea tende, halua kuwashawishi kupitia matumbo yenu huku ilhali Wamisionari wa Kikristo walijenga mahospitali, shule na vyuo vya ufundi stadi ili kuwakomboa Waafrika kiroho, kifikra, kiakili na kimwili.
Hakuna cha kunighadhabisha hapa, wote tumeacha yetu tukafata yao, tofauti iko wapi hapo. Hapo ulipo umejitanda mwili wote, huenda ni macho tu yanaonekana ili mradi utimize mila na tamaduni za watu.Pole sana, unaonesha umeghadhibika sana. Hawa wayahudi wanaudhi sana kwa mambo yao, itakuwa wanahitaji Hitler mwengine awanyooshe.
Hahahahah, wewe umevaa magome kama jadi ya babu zako? Au umepigilia kafa ulaya?Hakuna cha kunighadhabisha hapa, wote tumeacha yetu tukafata yao, tofauti iko wapi hapo. Hapo ulipo umejitanda mwili wote, huenda ni macho tu yanaonekana ili mradi utimize mila na tamaduni za watu.
Hata hivyo, hilo kwangu halina tatizo kwa sababu umeamua kufwata yasiyonihusu.
Yaani Wazungu na Waarabu hawatutakii mema kiukweli. Yaani wakatulazimisha kutangaza vivutio vya utalii vya huko Israel,Palestina, Italy, Greece, Turkey, Egypt, Jordan,Saudi Arabia na hapa ndo mpaka wana tulazimisha tuwe tunaenda na kokoto kule Maka na Madina ili waweze kujenga kwa gharama nafuu?Hakuna cha kunighadhabisha hapa, wote tumeacha yetu tukafata yao, tofauti iko wapi hapo. Hapo ulipo umejitanda mwili wote, huenda ni macho tu yanaonekana ili mradi utimize mila na tamaduni za watu.
Hata hivyo, hilo kwangu halina tatizo kwa sababu umeamua kufwata yasiyonihusu.
Hivi mapepo wanao piga kelele wakisikia jina la Yesu na magonjwa yanayopona kupitia jina la Yesu - nayo ni ya mchongo?Hayo siyajuwi. Naona waliishindwa ni wale wanaomfanya Yesu kuwa Mungu wao.
Nadhani kusoma unaweza, shida ipo kwenye uelewa, hapa Bi Faiza unakwama parefu sana.Hahahahah, wewe umevaa magiome kama jadi ya babu zako? Au umepigilia kafa ulaya?
Vjjana mpaka mnatia uvivu hoja zenu, poleni sana?
Umemaliza form lV ?
Hakika mkuu,Yaani Wazungu na Waarabu hawatutakii mema kiukweli. Yaani wakatulazimisha kutangaza vivutio vya utalii vya huko Israel,Palestina, Italy, Greece, Turkey, Egypt, Jordan,Saudi Arabia na hapa ndo mpaka wana tulazimisha tuwe tunaenda na kokoto kule Maka na Madina ili waweze kujenga kwa gharama nafuu?
Tuna tangaza utamaduni wao kwa lazima iliyo ya hiari kisa walitutawala?
naona watu wake alio wateua hawamtaki ila yeye anajilazimisha wampendeLenye kumwaga damu kila uchwao.
Taifa lisiloisha vita.
Hii comment inaonyesha humjui kabisa Mungu ni nani?Yesu ni Mungu? [emoji848]
Aise wazungu na waarabu wameharibu mno akili za Waafrika wengi ukiwemo wewe.
Yaani kama Yesu anaweza kuwa Mungu basi bora nisiwe na dini kabisa maana ukisikia binadamu anapewa cheo cha Uungu basi huo ni ujinga wa futi kumi.
Mjinga anaelimikaWajinga ndiyo waliwao.
Au ni Kama wale waliomfanya YESU aogope kusulibiwa ili kukwepa wokovu kwa njia ya msalaba. Ikaonekana Mungu amechepusha mpango wake amamnyakua mtu wake Kisha akamgeuza Yuda msaliti abebe msalaba na kusulibiwa kwa niaba ya Yesu aliyenyakuliwa na Mungu.Hayo siyajuwi. Naona walioshindwa ni wale wanaomfanya Yesu kuwa Mungu wao.
Kwa hiyo kubomolewa nyuma ni uginiazAshkenazi are the most genius people in the world
Wakristu hawalijui hili π π πWayahudi hawajawahi mkubali Yesu Kristo...