Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Yaani ma wewe unaamini huo upuuzi wa wachungaji wafanyabiashara kwa kuwakamua vijisenti vya kondoo kama wewe?Hakuna kipya
Yesu kupingwa si habari mpya
Kuna mengi yatakuja zaidi ya hayo
Alipigwa hata kipindi ambacho alikuja kutimiza kusudi la Baba mbele ya ishara zote alizoonyesha na Miujiza bado alipingwa na akateswa
Huoni hata aibu kukubali story ya uongo kama hiyo?