Israel: Muswada watinga bungeni ukisema kumtaja Yesu kuwa kosa la jinai. Waziri mkuu asema hawana mpango wa kuendelea nao

Israel: Muswada watinga bungeni ukisema kumtaja Yesu kuwa kosa la jinai. Waziri mkuu asema hawana mpango wa kuendelea nao

Hakuna kipya
Yesu kupingwa si habari mpya
Kuna mengi yatakuja zaidi ya hayo
Alipigwa hata kipindi ambacho alikuja kutimiza kusudi la Baba mbele ya ishara zote alizoonyesha na Miujiza bado alipingwa na akateswa
Yaani ma wewe unaamini huo upuuzi wa wachungaji wafanyabiashara kwa kuwakamua vijisenti vya kondoo kama wewe?

Huoni hata aibu kukubali story ya uongo kama hiyo?
 
Yesu Kristo ni Yeye yule, jana leo na hata milele. Yesu Kristo ni Mungu aliyehai.
Yesu ni Mungu? [emoji848]

Aise wazungu na waarabu wameharibu mno akili za Waafrika wengi ukiwemo wewe.

Yaani kama Yesu anaweza kuwa Mungu basi bora nisiwe na dini kabisa maana ukisikia binadamu anapewa cheo cha Uungu basi huo ni ujinga wa futi kumi.
 
Wajumbe wawili wa Bunge la Israel(Knesset) wametambulisha muswada ambao ukiidhinishwa itakuwa ni kinyume cha sheria kuwaambia watu habari za Yesu kwenye Taifa la Israel na hukumu itakuwa kifungo kwa kila atakaekiuka.

Waandishi wa muswada huo, Moshe Gafni na Yaakov Asher ni kutoka jamii ya Orthodox. Ni miongoni mwa watu muhimu kwenye Bunge hilo lenye siti 64 linaloongozwa na waziri mkuu, Benjamin Netanyahu,

Kama ikipitishwa, adhabu itakuwa mwaka mmoja ukijadiliana na mtu mzima na miaka miwili ukijadiliana na mtoto chini ya miaka 18.

CHANZO=> Christian

View attachment 2568097

========

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kupitia akauti yake ya Twitter amesema Taifa hilo halitapitisha Sheria yeyote dhidi ya jamii ya Wakristo.

View attachment 2568145
Kumbe huyu Benja alisha rudi kwenye usukani?
Nilipotea sana kwenye idara ya mawasiliano.
 
Mfuasi wa Mwarabu huwezi kuelewa. Waarabu wakati wanaeneza dini waliwaletea tende, halua kuwashawishi kupitia matumbo yenu huku ilhali Wamisionari wa Kikristo walijenga mahospitali, shule na vyuo vya ufundi stadi ili kuwakomboa Waafrika kiroho, kifikra, kiakili na kimwili.
Zilongwa mbali zitendwa mbali,, hapa hatujadili tende wala mmisionari!, hapa ni wabunge wa Israel taifa teule wamepeleka muswada ya kuwa hawataki nchi yao tukufu mijadala inayohusiana na mungu yesu kristo huo ndio mjadala,,, hayo mengine mbambamba!!
 
Pole sana, unaonesha umeghadhibika sana. Hawa wayahudi wanaudhi sana kwa mambo yao, itakuwa wanahitaji Hitler mwengine awanyooshe.
Hakuna cha kunighadhabisha hapa, wote tumeacha yetu tukafata yao, tofauti iko wapi hapo. Hapo ulipo umejitanda mwili wote, huenda ni macho tu yanaonekana ili mradi utimize mila na tamaduni za watu.

Hata hivyo, hilo kwangu halina tatizo kwa sababu umeamua kufwata yasiyonihusu.
 
Hahahahah, wewe umevaa magome kama jadi ya babu zako? Au umepigilia kafa ulaya?

Vjjana mpaka mnatia uvivu hoja zenu, poleni sana?

Umemaliza form lV ?
 
Hakuna cha kunighadhabisha hapa, wote tumeacha yetu tukafata yao, tofauti iko wapi hapo. Hapo ulipo umejitanda mwili wote, huenda ni macho tu yanaonekana ili mradi utimize mila na tamaduni za watu.

Hata hivyo, hilo kwangu halina tatizo kwa sababu umeamua kufwata yasiyonihusu.
Yaani Wazungu na Waarabu hawatutakii mema kiukweli. Yaani wakatulazimisha kutangaza vivutio vya utalii vya huko Israel,Palestina, Italy, Greece, Turkey, Egypt, Jordan,Saudi Arabia na hapa ndo mpaka wana tulazimisha tuwe tunaenda na kokoto kule Maka na Madina ili waweze kujenga kwa gharama nafuu?

Tuna tangaza utamaduni wao kwa lazima iliyo ya hiari kisa walitutawala?
 
Hahahahah, wewe umevaa magiome kama jadi ya babu zako? Au umepigilia kafa ulaya?

Vjjana mpaka mnatia uvivu hoja zenu, poleni sana?

Umemaliza form lV ?
Nadhani kusoma unaweza, shida ipo kwenye uelewa, hapa Bi Faiza unakwama parefu sana.

Wewe kumtukuza Msaudia na imani yake, kufuata tamaduni zake na matambiko yake huoni kama ni issue, ila mimi kumfuata mzungu na tamaduni zake hadi mavazi unaona karaha. Hapo ulipo huenda umeamka saa kumi ukaandaa chakula, ukala kabla ya sala ya asubuhi, ili tu ufuate kile muarabu wa Saudia anafanya, ulisikilizia hadi mwezi uonekane kwa kutangaziwa na muarabu ili tu ufunge.

Mimi sina tatizo na uyafanyayo, tatizo ni wewe kuona ya kwangu ninayofanya ni batili, ya kwako ni sahihi.
 
Yaani Wazungu na Waarabu hawatutakii mema kiukweli. Yaani wakatulazimisha kutangaza vivutio vya utalii vya huko Israel,Palestina, Italy, Greece, Turkey, Egypt, Jordan,Saudi Arabia na hapa ndo mpaka wana tulazimisha tuwe tunaenda na kokoto kule Maka na Madina ili waweze kujenga kwa gharama nafuu?

Tuna tangaza utamaduni wao kwa lazima iliyo ya hiari kisa walitutawala?
Hakika mkuu,
Waarabu na wazungu wameharibu sana fikra za mtu mweusi. Afadhali kwa jamii za watu wa 🇨🇳, Japan nk wao huu upuuzi hawautilii manani.
 
Yesu ni Mungu? [emoji848]

Aise wazungu na waarabu wameharibu mno akili za Waafrika wengi ukiwemo wewe.

Yaani kama Yesu anaweza kuwa Mungu basi bora nisiwe na dini kabisa maana ukisikia binadamu anapewa cheo cha Uungu basi huo ni ujinga wa futi kumi.
Hii comment inaonyesha humjui kabisa Mungu ni nani?

"Na tumfanye mtu kwa mfano wetu" ..ungeelewa maana ya hii sentensi ungeelewa Mungu ni Nani na mtu Ni nani. 'Mtu' siyo binadamu ni mtu.

"Na tumfanye mtu kwa mfano wetu"
 
Wajinga ndiyo waliwao.
Mjinga anaelimika
Ila mpumbavu ni sifuri

Unawezaje kumsikiliza mbakaji wa mtoto wa miaka 9 , mtu aliyetembea na mke wa mwanaye na akalala na jimama?
Mtu ambaye alisema Atakapokufa hajui atakachofanywa yeye na wala waumini wake?

" Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. " Yohana 14:6
 
Hayo siyajuwi. Naona walioshindwa ni wale wanaomfanya Yesu kuwa Mungu wao.
Au ni Kama wale waliomfanya YESU aogope kusulibiwa ili kukwepa wokovu kwa njia ya msalaba. Ikaonekana Mungu amechepusha mpango wake amamnyakua mtu wake Kisha akamgeuza Yuda msaliti abebe msalaba na kusulibiwa kwa niaba ya Yesu aliyenyakuliwa na Mungu.

Hili nalo ni Jambo la ajabu kuwahi kupatwa kuandikwa na Kisha kumsingizia Mungu kuwa ameshusha hayo maandiko. Kama tunapaswa kuwashangaa wanaomfanya YESU kuwa Mungu wao basi tunapaswa kuwashangaa pia wanaosema Mungu akaepusha mtume wake mpendwa(Yesu) kuteswa msalabani amamnyakua na Kisha akateswa mfuasi wake.
 
Back
Top Bottom