Israel: Muswada watinga bungeni ukisema kumtaja Yesu kuwa kosa la jinai. Waziri mkuu asema hawana mpango wa kuendelea nao

Israel: Muswada watinga bungeni ukisema kumtaja Yesu kuwa kosa la jinai. Waziri mkuu asema hawana mpango wa kuendelea nao

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Wajumbe wawili wa Bunge la Israel(Knesset) wametambulisha muswada ambao ukiidhinishwa itakuwa ni kinyume cha sheria kuwaambia watu habari za Yesu kwenye Taifa la Israel na hukumu itakuwa kifungo kwa kila atakaekiuka.

Waandishi wa muswada huo, Moshe Gafni na Yaakov Asher ni kutoka jamii ya Orthodox. Ni miongoni mwa watu muhimu kwenye Bunge hilo lenye siti 64 linaloongozwa na waziri mkuu, Benjamin Netanyahu,

Kama ikipitishwa, adhabu itakuwa mwaka mmoja ukijadiliana na mtu mzima na miaka miwili ukijadiliana na mtoto chini ya miaka 18.

CHANZO=> Christian




========

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kupitia akauti yake ya Twitter amesema Taifa hilo halitapitisha Sheria yeyote dhidi ya jamii ya Wakristo.

Netanyahu.jpg
 
One of the smartest move ndio hii

Safi sana idadi ya Miungu inazidi kupunguzwa, Mungu yesu hana chake huko Israel saizi amebakia mshua wake tu naye yupo kwenye radar anaundiwa tume.

Ambao mlikuwa mnajidai mmeishika sana dini mnanena hadi kwa lugha na kufika mbali na kuacha asili yenu mkaanza kushoboka na mataifa ya watu eti "taifa teule" mko wapi?

Lile kundi lililompa jina la Issa sijui nalo limepokeaje hii habari?

By the way uzuri mlikuwa na backup ya majina mengine, watunzi walikuwa sharp sana kuona nyakati za mbeleni na ndio maana wakaja na majina nyomi kama Messiah, Simba wa Yuda, nk ambayo hayo mnaweza kuyatumia kama altenative kukwepa kifungo.
 
Huyo mwenyewe anayeelezea hiyo habari kavaa km mganga mpiga ramli chonganishi. No wonder nchi hii ukisikia mganga wa kienyeji mahiri ujue anatokea sehemu yenye idadi kubwa ya waislam iwe Ujiji, Sumbawanga, Uyui n.k
Inamaana mama yake Yesu wa kuchora tumuitaje? Maana naye alikuwa anavaa kama huyo dada,na Mbeya inaongoza kwa makanisa Tanzania, mfano asilimia kubwa ya Wachungaji ni Wanyakyusa lakini umeshawahi kusikia habari za mbeya?
 
Back
Top Bottom