FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wajumbe wawili wa Bunge la Israel(Knesset) wametambulisha muswada ambao ukiidhinishwa itakuwa ni kinyume cha sheria kuwaambia watu habari za Yesu kwenye Taifa la Israel na hukumu itakuwa kifungo kwa kila atakaekiuka.
Waandishi wa muswada huo, Moshe Gafni na Yaakov Asher ni kutoka jamii ya Orthodox. Ni miongoni mwa watu muhimu kwenye Bunge hilo lenye siti 64 linaloongozwa na waziri mkuu, Benjamin Netanyahu,
Kama ikipitishwa, adhabu itakuwa mwaka mmoja ukijadiliana na mtu mzima na miaka miwili ukijadiliana na mtoto chini ya miaka 18.
CHANZO=> Christian
========
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kupitia akauti yake ya Twitter amesema Taifa hilo halitapitisha Sheria yeyote dhidi ya jamii ya Wakristo.