Israel: Muswada watinga bungeni ukisema kumtaja Yesu kuwa kosa la jinai. Waziri mkuu asema hawana mpango wa kuendelea nao

Israel: Muswada watinga bungeni ukisema kumtaja Yesu kuwa kosa la jinai. Waziri mkuu asema hawana mpango wa kuendelea nao

Naam, Labda u mgeni hapa JF, hao ni vipenzi vya Wksristo wengi wa JF.
Sio ajabu sana, hata kule Saudi Arabia ndipo roho zetu wengi zilipo. Tumebadilika hadi tamaduni na asili zetu tumeacha tumechukua za watu wa Saudi Arabia. Kwamba kule Makkah ndio kuna ule msikiti mtakatifu wa Masjid Al Haram na lazima tutembelee mji mtakatifu.
 
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kupitia akauti yake ya Twitter amesema Taifa hilo halitapitisha Sheria yeyote dhidi ya jamii ya Wakristo.

Netanyahu.jpg
Thread closed...
 
Huyo mwenyewe anayeelezea hiyo habari kavaa km mganga mpiga ramli chonganishi. No wonder nchi hii ukisikia mganga wa kienyeji mahiri ujue anatokea sehemu yenye idadi kubwa ya waislam iwe Ujiji, Sumbawanga, Uyui n.k
Unaonesha una uzoefu wa waganga wa kienyeji, kumbe ndivyo wanavyovaa hivyo?

Nimeamini kweli wewe ni "schwein". Hujakosea kujipa ID hiyo.
 
Huyo mwenyewe anayeelezea hiyo habari kavaa km mganga mpiga ramli chonganishi. No wonder nchi hii ukisikia mganga wa kienyeji mahiri ujue anatokea sehemu yenye idadi kubwa ya waislam iwe Ujiji, Sumbawanga, Uyui n.k
Sumbawanga kuna waislam? Gambosi kuna waislam?,,, mbona unataka kuhamisha magoli, kinachojadiliwa hapa ni wabunge wa waisrael taifa teule wamepeleka muswada bungeni hawataki nchi yao iwe na mijadala kuhusiana na mungu yesu kristo,, hayo mengine fungulia uzi wako
 
Na haujui mpinga Kristo atakua ni wa Israel
Utabiri wa biblia unaonesha Israeli watakuja kupata Akili , pale mpinga Kristo atakapoingia kwenye sinagogi
Sioni cha kushangaza hapo kama waliwauwa manabii na mitume na mpaka Yesu , sasa nini kinakushangaza
Je haujui ufalme wa MUNGU - ulitoka kwa Israel na kwenda kwa mataifa - Ulishaona wakristo wana kimbilia Israel kusali( sio Utalii)
 
Wao wanampinga Yesu sasa wewe mfuasi wake kwa nini uhukumiwe? Au hapo kahukumiwa Yesu?
 
Dini ni imani na matendo yako. Watu hasa Wachungaji fake wanamsingizia kila kitu Yesu. Na wajinga wasiomjua mungu wa kweli wanaumia. Wachungaji wengi ni wezi sana na matapeli. Lini Yesu aiyetumwa na mungu awe na kulipisha watu hela.
 
Sio ajabu sana, hata kule Saudi Arabia ndipo roho zetu wengi zilipo. Tumebadilika hadi tamaduni na asili zetu tumeacha tumechukua za watu wa Saudi Arabia. Kwamba kule Makkah ndio kuna ule msikiti mtakatifu wa Masjid Al Haram na lazima tutembelee mji mtakatifu.
Pole sana, unaonesha umeghadhibika sana. Hawa wayahudi wanaudhi sana kwa mambo yao, itakuwa wanahitaji Hitler mwengine awanyooshe.
 
Sumbawanga kuna waislam? Gambosi kuna waislam?,,, mbona unataka kuhamisha magoli, kinachojadiliwa hapa ni wabunge wa waisrael taifa teule wamepeleka muswada bungeni hawataki nchi yao iwe na mijadala kuhusiana na mungu yesu kristo,, hayo mengine fungulia uzi wako
Mfuasi wa Mwarabu huwezi kuelewa. Waarabu wakati wanaeneza dini waliwaletea tende, halua kuwashawishi kupitia matumbo yenu huku ilhali Wamisionari wa Kikristo walijenga mahospitali, shule na vyuo vya ufundi stadi ili kuwakomboa Waafrika kiroho, kifikra, kiakili na kimwili.
 
Mm huwaga wananishangaza sana, myahudi kule utaskia sisi dini ya cristo hatuitambui kabisa, sisi tunaamini tunakiamini na Yesu sio Mungu, Yesu kwao wanamtambua kama muasi ( adui mkubwa) aliekimbia kutokana na kipigo kutoka kwao, basi toka kipindi hiko wazungu wakafanya figisu mpaka wakawaaminisha watu kuwa lile eti ni tahifa la Mungu, eti waliomsaliti Yesu ambae wanadai kuwa ndio wanaemuabudia sasaivi kageuka rafiki ya aliewasaliti [emoji1787], yaani kwa akili tu ya kawaida mtu aliechezea mateso huko mpaka kufukuzwa leo wafuasi wa yule mtu eti awe rafiki? Hizi ni propaganda kama propaganda za lgbt sema hii wamefanikiwa pakubwa kuwateka watu akili
 
Na uhakika hilo Kanusho la chini ya post yako hukuweka wewe.
 
Wao wanampinga Yesu sasa wewe mfuasi wake kwa nini uhukumiwe? Au hapo kahukumiwa Yesu?
Ni mwanzo wa kazi za roho ya mpinga Kristo
Unajua kazi ya shetani , Ni kuhakisha Adam wa pili awe ameshindwa kama Adam wa kwanza
 
Back
Top Bottom