ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Sio ajabu sana, hata kule Saudi Arabia ndipo roho zetu wengi zilipo. Tumebadilika hadi tamaduni na asili zetu tumeacha tumechukua za watu wa Saudi Arabia. Kwamba kule Makkah ndio kuna ule msikiti mtakatifu wa Masjid Al Haram na lazima tutembelee mji mtakatifu.Naam, Labda u mgeni hapa JF, hao ni vipenzi vya Wksristo wengi wa JF.