Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hana ushujaa wowote ule.Ni shujaa aliyeleta heshima kwa waPalestina, hadi sasa sidhani kama Israel itakuja kuleta ujinga kudhani kuua Palestinians ni suluhisho katika harakati zake za ukandamizaji.
Sasa hivi Israel imeelewa manufaa ya kufanya mazungumzo kuliko kufanya vita..
Hajaleta heshima yoyoye kwa Wapalestina.
Ni pimbi aliyeleta madhila kwa Wapalestina.
Alistahili kilichomkuta.
Hamas waende tena wakavamie Israel waone 🤣