Israel na Hamas wakubali kusitisha mapigano eneo la Gaza

Kwa hiyo unataka vita iendelee mpaka Lini wakati Wapalestina zaidi ya 45,000 wameshauawa ukijumuisha viongozi wa Hamasi na Hamasi wenyewe huku Gaza yote imekuwa vifusi,hakuna hospitali,hakuna shule hakuna baraba maghorofa na majumba yote yameharibika.Kuijenga Gaza na kuwalisha watu wa Gaza itahitaji misaada wa Wazungu na Irani, Yemen Wala Lebanon ya Hezbollah.
 
Fuatilia huko Youtube na kwenye internet utaona.
Makombora yanayotoka Yemen kila siku yaacha majeruhi na mabaki yanaanguka kwenye makazi ya watu...
Na hapo Houthis wameanza taratibu , Israel ingejitia ujuaji kupiga raia Yemen, basi Houthis wangefanya hivyo..
AFP__20250114__36TP4MN__v1__HighRes__IsraelYemenPalestinianConflict.jpg
Kila siku wanerusha hilo moja?
 
Wewe umeshaonekana kua ni poyoyo kwa kujiwekea malengo yako ya vita na kujiona kua wewe ulikua na malengo yako tofauti na wayahudi wenyewe,

Tulia tu sasa ili usiendelee kuzidi kuonyesha upimbi wako.
Naona unateseka kweli mimi ku-post! Ulivyo mjinga unafuata posts za "poyoyo"; wenye akili wanazipuuzia!
 
HAMAS alitaka kuachia awa mateka tangu mwanzo lkn kibri cha Netanyahu kimefanya mateka kibao kufa IDF kibao kufa tena vijana wadogo baada ya majanga yoteeee!! ayo ndio Netanyahu anabaini HAMAS ni fupa gumu kwa IDF kulishinda sasa kakubali yaleyale aliokataa mwanzooo! YEMEN NDIO IMECHANGIA PAKUBWA HII AMAN.!!!!
Ujinga wa Hamas umewagharimu sana wapalestina
 
Malengo ya Israel huko Gaza, pili Lebanon (Hezbollah), na tatu Syria yamefanikiwa kwa 100%. Yemen (Houthi) in good progres. Kubwa lao (Iran) limelemazwa kwa kiwango cha kutisha. So, with that in mind, Israel kubadili msimamo ni sahihi.

Lebanon imepata rais, uongozi wa Syria umebadilishwa, cream ya makundi ya kigaidi tishio kwa Israel (Hezbollah & Hamas) imefyekwa, Israel imejitwalia maeneo for military strategic reasons hayo ni mafanikio ya kupigiwa mfano katika medani za kijeshi. Majeshi duniani yakajifunze Israel!
Iran Imesha nyolewa mabawa👏👏👏👏👍
 
Ongezea pia for Netanyahu ndio waziri mkuu wa kwanza kupigwa na hypersonic missile zisizozuilika kutoka iran na yemen.
 
HAMAS alitaka kuachia awa mateka tangu mwanzo lkn kibri cha Netanyahu kimefanya mateka kibao kufa IDF kibao kufa tena vijana wadogo baada ya majanga yoteeee!! ayo ndio Netanyahu anabaini HAMAS ni fupa gumu kwa IDF kulishinda sasa kakubali yaleyale aliokataa mwanzooo! YEMEN NDIO IMECHANGIA PAKUBWA HII AMAN.!!!!
Wangekubali mapema lengo lao la Kuwauwa magaidi wengi lisimgetimia!
Kama walivyo agizwa na Mungu WAO!
👇👇
Kumbukumbu la Torati 19:20-21
20 Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.

21 Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.
 
Ongezea pia for Netanyahu ndio waziri mkuu wa kwanza kupigwa na hypersonic missile zisizozuilika kutoka iran na yemen.
Duuh Supasonic zimeshindwa kumuuwa Netanyahu?!
Huyu Kweli Mwamba👏👏💪💪👍
 
Naona unateseka kweli mimi ku-post! Ulivyo mjinga unafuata posts za "poyoyo"; wenye akili wanazipuuzia!
Wapuuzi kama nyie mnaopotosha jamii hatuwezi kuwaacha,hatutaki ujinga wenu muuhamishie kwa hawa vijana ambao bado wapo kwenye level ya kujifundisha issue za kidunia.
 
Malengo ya Israel huko Gaza, pili Lebanon (Hezbollah), na tatu Syria yamefanikiwa kwa 100%. Yemen (Houthi) in good progres. Kubwa lao (Iran) limelemazwa kwa kiwango cha kutisha. So, with that in mind, Israel kubadili msimamo ni sahihi.

Lebanon imepata rais, uongozi wa Syria umebadilishwa, cream ya makundi ya kigaidi tishio kwa Israel (Hezbollah & Hamas) imefyekwa, Israel imejitwalia maeneo for military strategic reasons hayo ni mafanikio ya kupigiwa mfano katika medani za kijeshi. Majeshi duniani yakajifunze Israel!
Mkuu iliwezekanaje na intelijensia yote hiyo walishindwa vipi kuwapata mateka wa kiyahudi? walikwama wapi.
 
Huyu inaonekana anaijua vizuri Israel na sera kuliko anavyojijua yeye!
 
Huu mtazamo wako ungekuwa perfect kama mchokozi angalikuwa Israel. In contrary, waliolianzisha wametulizwa vilivyo ushindi ni wa nani?
Mchokozi ni Israel si anaikalia kimabavu ardhi ya palestina
 
Huyo ni shujaa, amekufa akipambana, japo ni kiongozi na hakuogopa kifo, kama hao mateka wapo hai, unafikiri angeshindwa kwenda kujificha huko mateka walipo?
Ameamua kukaa front kupambana wakati huo Netanyahu kajificha kwenye mashimo... salute to this man...
Hana ushujaa wowote. Ni mpumbavu tu.

Yeye ndo kaisababishia Gaza kurudishwa nyuma miaka 1,000.

Mtu aliyepanga mashambulizi ya Okt. 7 hawezi kuwa shujaa hata kidogo.

Kasababisha Wapalestina zaidi ya 50,000 kuuwawa.

Kasababisha viongozi wenzake wa Hamas na Hezbollah kuuwawa.

Na yeye kafa kiboya sana.

Hana ushujaa wowote. Ni poyoyo aliyetenda makosa makubwa sana ya kimkakati.

He is dead!
 
Chanzo cha wananchi wa Gaza kufariki ni Israel na si Hamas wala viongozi wao...
Israel ndiye kapiga na kuua kwa makusudi raia wa Gaza.
Kumbuka Oct 7 Hamas walikuwa wana retaliate baada ya mauaji ya Palestinian na kuchukuliwa mateka...
 
Utaghani kila aina ya ngonjera. Ukweli ni kuwa huyo fala alifanya makosa makubwa sana ya kimkakati ambayo yameigharimu sana Gaza.

He is no hero. He’s a zero and he’s dead. A worthless piece of shit.
 
Ni shujaa aliyeleta heshima kwa waPalestina, hadi sasa sidhani kama Israel itakuja kuleta ujinga kudhani kuua Palestinians ni suluhisho katika harakati zake za ukandamizaji.

Sasa hivi Israel imeelewa manufaa ya kufanya mazungumzo kuliko kufanya vita..
 
Back
Top Bottom