Israel na Hamas wakubali kusitisha mapigano eneo la Gaza

Israel na Hamas wakubali kusitisha mapigano eneo la Gaza

Malengo ya Israel huko Gaza, pili Lebanon (Hezbollah), na tatu Syria yamefanikiwa kwa 100%. Yemen (Houthi) in good progres. Kubwa lao (Iran) limelemazwa kwa kiwango cha kutisha. So, with that in mind, Israel kubadili msimamo ni sahihi.

Lebanon imepata rais, uongozi wa Syria umebadilishwa, cream ya makundi ya kigaidi tishio kwa Israel (Hezbollah & Hamas) imefyekwa, Israel imejitwalia maeneo for military strategic reasons hayo ni mafanikio ya kupigiwa mfano katika medani za kijeshi. Majeshi duniani yakajifunze Israel!
Hayo unayoyita mafanikio, muda mfupi ujao Mayahudi watayajutia na kisaga meno!
 
Hawatakaa warudie huo upuuzi wa kushambulia...Sasa hiv wakajikite kurudisha miundo mbinu na wakae kwa kutulia..tofaut na hapo ni kichapo tu
Mgogoro hauwezi kuisha kwa sababu kiini cha mgogoro hakijatatuliwa ,hapa vita itasitishwa kwa miaka kadhaa alafu italipuka tena yenye maafa zaidi ya haya.
 
Of course!

Miscalculation na pia hardheadedness Hamas imewaponza raia wa Gaza.

In the grand scheme of things, [Hamas] hakuna walichofanikiwa.

Wapalestina zaidi ya 50,000 wameuliwa. Na si ajabu idadi halisi ni zaidi ya hapo.

Gaza imerudishwa zama za mawe.

Viongozi waandamizi wa Hamas karibu wote wameuliwa.

Wamefaidika na nini sasa hapo?

Upumbavu wa Hamas umewaponza raia wa kawaida wa Gaza.
Kwa sababu wewe na familia yako hampo kwenye nafasi ya wapalestina ni haki yako kuongea hayo uliyo yaandika.
 
Kwa mtizamo mwingine ni kama malengo ya Hamas yametimia japo kwa kumwaga damu sana.

Maana lengo la shambulizi la October 7 lilikuwa kupata mateka ambao watawatumia kama kete ya kukomboa wenzao walioshikiliwa na Israel. Na hiki ndo kimetokea sasa
Hao wenzao walioshikiliwa watakaoachiliwa thamani yao ya maisha ni sawa na raia 50,000 waliouawa ?
 
Halafu unaambiwa eti Hamas wameshinda 🤣.

That kind of breathtaking stupidity is what led to their demise!

Hamas hawatorudia tena kuichokoza Israel kwa scale ya Oct. 7.
Wote mnao waza hivyo mnajidanganya hapa vita itatulia kwa miaka kadhaa tu alafu italipuka tena kwasababu chimbuko la mgogoro halijatatuliwa.
Chimbuko la mgogoro kati ya Israel na wapalestina sio Hamas na wala sio tukio la October 7.
 
Hao wenzao walioshikiliwa watakaoachiliwa thamani yao ya maisha ni sawa na raia 50,000 waliouawa ?
Mkuu akina mkwawa na kinjekitire walianzisha vita na wakoloni vita ambavyo vili sababisha maafa makubwa lakini mpaka sasa nchi yako inawatambua kama mashujaa na siyo wajinga walio sababisha maafa.
 
Halafu unaambiwa eti Hamas wameshinda 🤣.

That kind of breathtaking stupidity is what led to their demise!

Hamas hawatorudia tena kuichokoza Israel kwa scale ya Oct. 7.
Tatizo lako unaandika kishabiki ndio maana unaonekana kua wewe ni Debe tupu,

Mwanzoni umejificha ficha ila kama ilivyo kawaida,mnafiki hua hawezi kujificha,atajisahau tu na kuonyesha unafiki wake.
 
sasa unataka kuokoa let's say mateka 400 at the same time unakwenda kupoteza watu 460000+ pamoja na viongozi wote waandamizi jumlisha miundo mbinu na kufanya Gaza kuwa kama fuvu sasa ina faida gani.Hii iwe fuzo kwa kizazi kijacho hapo Gaza kwamba ukiichokoza Israel kuna gharama zake watabeba.
Hata Israel itajifunza kuwa nguvu na mauaji sio njia pekee ya kutatua matatizo na ndio maana wame kubali kusitisha mapigano kwa mashariti ambayo tangu mwanzo walikuwa wana yakataa.
 
Naona umeanza kuwashwa tena! Nilishakwambia Pita pembeni kwenye post zangu; kima wewe!
Wewe ulisha geuka kua ni kituko hapa JF
wachangiaje wengi wamekuona kua wewe ni poyoyo kwa huo upupu wako uliouweka hapa,unaendeshwa na chuki za kijinga kwa kujiona mmarekani mweusi wa Nzega huko,

JF is an open forums,huna mamlaka ya kunipangia kitu hapa,pambana na njaa zako.
 
Mkuu akina mkwawa na kinjekitire walianzisha vita na wakoloni vita ambavyo vili sababisha maafa makubwa lakini mpaka sasa nchi yako inawatambua kama mashujaa na siyo wajinga walio sababisha maafa.
Kwa hiyo Hamas ni mashujaa kwa tukio la October 7?
 
Tatizo lako unaandika kishabiki ndio maana unaonekana kua wewe ni Debe tupu,

Mwanzoni umejificha ficha ila kama ilivyo kawaida,mnafiki hua hawezi kujificha,atajisahau tu na kuonyesha unafiki wake.
Hakuna nilichojificha.

I just call balls and strikes.
 
Wewe ulisha geuka kua ni kituko hapa JF
wachangiaje wengi wamekuona kua wewe ni poyoyo kwa huo upupu wako uliouweka hapa,unaendeshwa na chuki za kijinga kwa kujiona mmarekani mweusi wa Nzega huko,

JF is an open forums,huna mamlaka ya kunipangia kitu hapa,pambana na njaa zako.
"Wachangiaji wengi"; unamwakilisha nani wewe? Isemee nafsi yako wacha kujipendekeza.
 
Kwa hiyo Hamas ni mashujaa kwa tukio la October 7?
Wao kuwa mashujaa au kuwa wajinga inafatana na mtazamo wa mtu binafisi kutokana na jinsi anavyo utazama mgogoro.
Kwa wapalestina na watetezi wao Hamas ni shujaa na ndio maana hawajawahi kuilaumu Hamas juu ya mauaji yaliyo kuwa yakiendelea.
Ila kwa Israel na nyinyi watetezi wake Hamas ni wajinga na magaidi ni suala la mtizamo.
Na usije ukajidanganya kuwa eti wapalestina hawatafanya shambulizi tena dhidi ya Israel iwapo watapata nafasi eti kwa sababu ya mauaji yaliyo fanywa na Israel kwenye ukanda wa gaza.
Ili mladi Israel inaendelea kufanya ukandamizaji dhidi ya wapalestina basi jua vita italipuka tena huko mbele.
 
Operation ilikuwa kulifuta kundi la hamas na ghaza kuwa sehemu salama sasa tunajuuliza operation imefanikiwa?
US inakwenda ku focus na mambo yake ya kiuchumi hasa wakati wa Trump, US haitofanya ujinga kuendelea kutoa mabilioni kuisaidia Israel na vita ya Gaza.

Israel imefeli, wameua viongozi wa Hamas sawa, lakini wamelifuta hilo kundi? kinachoshangaza zaidi kwa jinsi Gaza ilivyo ndogo kumbe mateka wapo pale pale...

Sasa huo ubabe wa Israel upo wapi? kupiga makombora makazi ya raia?

Wameingiza askari Gaza na mateka wameshindwa kuwakomboa, Israel ni over rated... hawana lolote..

Sasa wamekubali matakwa ya Hamas...
 
Back
Top Bottom