Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
tulia wewe huo mji hautawaliki wayahudi walitaka kujenga makazi ya walowez lakin baada ya rusha roho ya hamas wameogopa mpaka sasa israel hana sauti yoyote yerusalimu hapo ha ha ha ha hamas kiboko kudadadeki... mafilisti wajinga sana! Walishaambiwa Yerusalemu ni ardhi "walipopumzika" manabii wa Mungu wa Yakobo sio pahala pa kuzika magaidi! Hivi kwa akili yao wanadhani kuna siku wataumiliki Mji wa Daudi?