Israel na Hamas wakubaliana kusitisha Mapigano

Ni dhambi kwa Israel kuwasikiliza hawa wahuni HAMAS.. wanachokoza then wanakimbilia kwenye makazi ya watu ili wakitwagwa mataifa yaseme Israel inaua innocent civilians.

Hawa ni wa kuwabokoa tu mwanzo mwisho, soma hapa

"Hamas, as its name (Islamic Resistance Movement) implies, aims to liberate Palestine from the Israeli occupation, and transform the country into an Islamic state. ... The movement's original charter committed it to waging an armed struggle to destroy the state of Israel."

Unaona lengo la hawa jamaa.... Hawataki kuitambua Islael kwamba ni taifa huru bali ni watu tu wavamizi wa taifa la Parestina, na wakishawapiga Islael (Kitu ambacho hawataweza) then watangaze taifa lote ni la dola ya kiislam.
 
Watu waliopata madhara cjui watafidiwa ama ndo imeeisha hyo? haya maisha hayaa basi tu.
Hakuna fidia yoyote wa Israel kama serikali washenzi na Hamas washenzi wanatizama maslahi yao tu wanauwa watu mwisho wa siku wanaongea wanasimamisha vita mimi nawalaani pande zote mbili wanadhulumu uhai wa watu bila sababu za msingi kama mmeweza kusimamisha sasa mlishindwa nini kujizuia hasira zenu toka mwanzo. Mpaka Biden kuwa mkali kuwa wasimamishe haraka ndio wamechukuwa hatua. Haijalishi upande gani na support lakini katika hili pande zote mbili wahalifu na wauwaji.
 
Ni dhambi kwa Israel kuwasikiliza hawa wahuni HAMAS.. wanachokoza then wanakimbilia kwenye makazi ya watu ili wakitwagwa mataifa yaseme Israel inaua innocent civilians.

Hawa ni wa kuwabokoa tu mwanzo mwisho, soma hapa

"Hamas, as its name (Islamic Resistance Movement) implies, aims to liberate Palestine from the Israeli occupation, and transform the country into an Islamic state. ... The movement's original charter committed it to waging an armed struggle to destroy the state of Israel."

Unaona lengo la hawa jamaa.... Hawataki kuitambua Islael kwamba ni taifa huru bali ni watu tu wavamizi wa taifa la Parestina, na wakishawapiga Islael (Kitu ambacho hawataweza) then watangaze taifa lote ni la dola ya kiislam.
Nenda ww ukawasaidie usipige kelele humu jf haitokusaidia
 
Kwa Islael hiyo kazi ni ndogo kwao, hawahitaji msaada wowote toka kwa binadamu yoyote duniani!! cha msingi hao HAMAS wakae kwa adabu otherwise wataiponza nchi ya Parestina igeuke jangwa.
 
Toka jana hamas wamefurahia ushindi muda huu bendera za palestina zinapepe jerusalimu
img_2_1621589169945.jpg
 
Kwa Islael hiyo kazi ni ndogo kwao, hawahitaji msaada wowote toka kwa binadamu yoyote duniani!! cha msingi hao HAMAS wakae kwa adabu otherwise wataiponza nchi ya Parestina igeuke jangwa.
Leo wamenza kuswali kama kawaida mskiti wao Al-Aqswa, hakuna aliewazuia tofauti na 2 zilizopita na hawana haki ya kuwazia kusali
 
Sasa kwanini unajipendekeza wakati wanakuita nyani, au ww ndio wale chuki zenu ni Uislam tu, Sasa labda nikuambie tu unajipa kazi bure kuwa na chuki haitokusaidia ispokua utazeeka mapema na kufa uende kuchezea marungu huko uendako View attachment 1792662a
It is ironic kwamba Waisraeli hawataki msaada wa cow urine drinkers kwa sababu Wahindi(Gurkha Battalion) ndio walioikomboa Palestine 1917.
 
[emoji848][emoji848]Hii ya wahindi kukomboa Palestina ndio naisikia leo
 
Hakuna fidia yoyote wa Israel kama serikali washenzi na Hamas washenzi wanatizama maslahi yao tu wanauwa watu mwisho wa siku wanaongea wanasimamisha vita mimi nawalaani pande zote mbili wanadhulumu uhai wa watu bila sababu za msingi kama mmeweza kusimamisha sasa mlishindwa nini kujizuia hasira zenu toka mwanzo. Mpaka Biden kuwa mkali kuwa wasimamishe haraka ndio wamechukuwa hatua. Haijalishi upande gani na support lakini katika hili pande zote mbili wahalifu na wauwaji.
... pamoja na lawama kwa pande zote lakini kuna kiini cha tatizo! Majambazi yakivurumisha silaha nyumbani kwako hatua ya kwanza sio kutafuta suluhu ni kupambana kuhakikisha usalama wa familia kwanza. Baada ya hapo mengine yanafuata ...
 
.... wajinga kweli! Unajiuliza la maana walilopata ni lipi baada ya tafrani waliyoianzisha wenyewe? Hakuna zaidi ya maafa kwa raia wasio na hatia - wanawake na watoto!
Hivi unakumbuka kuwa Vita ilianzia kwenye vitongji kazaa Jerusalem...HIV unajua kuwa israel kashachukua eneo Hilo, na huku ndo kinasababisha hakuna amani,. Hata mm ningepigana hebu fkiria , eneo alilopewa israel 1949 ndo hili la leo???
 
Wahindi wameikomboa Palestine. Haya mambo nimeyasoma sana and I am absolutely bored with this subject.
Let me check but sikuwahi kuona history indians kutawala au kusaidia namna yyte katika nchi za kiarabu wakati ziko mikononi mwa mabeberu, ninavyojua nikuwa India imekuwa na ushawishi sana Ulaya na Marekani hasa Canada [emoji260]tokea enzi za ukoloni, ndio maana mpaka leo wako wengi nchi hizo, ila nitatafuta historia nihakikikishe zaidi
Ninavyojua mm Ireland [emoji1132] ndio iliosaidia na mpaka leo inayosaidia nankuwaunga mkono Palestine katika nchi zote za Ulaya, juzi niliona Yule waziri mkuu wa Ireland [emoji1132] akikipaka na kuwa na hasira juu ya mzozo huu video ninayo
 
Hivi matokeo ya vita huko Gaza ngapi ngapi vile?
Makafiri wa kiyahudi kama kawaida yao wameshindwa tena
Kwa Islael hiyo kazi ni ndogo kwao, hawahitaji msaada wowote toka kwa binadamu yoyote duniani!! cha msingi hao HAMAS wakae kwa adabu otherwise wataiponza nchi ya Parestina igeuke jangwa.

Miaka na miaka imepita na hawakuweza kuigeuza jangwa, wataweza sasa!!!

Wamekua wakipambana na palestina kwa takriban miaka sasa, wakitumia silaha za hali ya juu na msaada wa kifedha wa Amerika dhidi ya nchi ambayo haina jeshi, haina silaha wala pesa wala hakuna serikali kuu. Na bado hawajafanikiwa kushinda. Lini watafahamu?! Huwezi kuipiga nchi ambayo inalindwa na ALLAH
 
Hivi unakumbuka kuwa Vita ilianzia kwenye vitongji kazaa Jerusalem...HIV unajua kuwa israel kashachukua eneo Hilo, na huku ndo kinasababisha hakuna amani,. Hata mm ningepigana hebu fkiria , eneo alilopewa israel 1949 ndo hili la leo???

Hawa wafuata mkumbo tu, wanajua kila kitu, wanafahamu israel ni mvamizi/mporaji lakini mahaba yamewazidi, na chuki kwa waislamu.
 
Back
Top Bottom