Hawa sio mara ya kwanza haya kutokea matatizo yapo na yanajulikana ni rahisi sisi hapa kusema na kuandika ila lazima ukatizame history nini chanzo ya haya lakini mimi hayo sitaki kuyaongelea wenyewe wanayajuwa. nacho sema hapa hawa sio mara ya kwanza na wala haitakuwa mara ya mwisho mnaanza kupigana mnauwana baada ya siku kumi mnaacha baada ya wakubwa kuwaambia ila hapo watu wamepoteza maisha. Nadhani juzi usiku mara ya kwanza kumsikia Biden sio kumuomba Nentanyau acha ila aliongea lugha ya ukali acha mara moja Israel ni nchi Hamas ni kikundi tu ndani hakina mamlaka yoyote, ndio maana Biden alikuwa mkali juzi hawa Hamas ujumbe ulipitia kwa Egypt tu.... pamoja na lawama kwa pande zote lakini kuna kiini cha tatizo! Majambazi yakivurumisha silaha nyumbani kwako hatua ya kwanza sio kutafuta suluhu ni kupambana kuhakikisha usalama wa familia kwanza. Baada ya hapo mengine yanafuata ...