Israel na Hamas zinakaribia kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa

Konachofanyika siyo ceasefire bali ni pause. Baada ya mateka kupokelewa, magaidi ya Hamas yanaendelea kutafutwa popote yalipo ili yamalizwe.
Israel si walisema hawawezi kukaa meza mojo na Magaidi wa Hamasi😂
 
Uwezo mkubwaa wa kivita ni kuweza kukomboa, kukomboa ndo ushindi kwenye vita. Kama Israel mpaka sasa hajafanikiwa kukomboa mateka means kachemkaaa
 
Mbona upande Israel uko kimya kuhusu haya mapatano?
 
Netanyahu alisema hawezi kukaa meza moja na magaidi Hamas leo kikowapi Israel anawatumia Qatar kuwabembeleza Hamas, pia Hamas wametoa masharti yao na Israel wameyakubali.
Kubwa jinga. Unatunga uongo ili iweje unasema Israel iachie wafungwa wanawake na watoto. Hao watoto nap no wafungwa? jishtukie wakati mwingine
 
Kwani wameanza leo kufanya makubaliano?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Ufahamu historia ya Palestina wameisha teka sana Waisrael na wakatoa mashatti yao huko nyuma waliwahi kukataa masharti yao akajilipua nao Hamas siyo wajinga wanatoa mateka kwa hawamu.
 
Netanyahu alisema hawezi kukaa meza moja na magaidi Hamas leo kikowapi Israel anawatumia Qatar kuwabembeleza Hamas, pia Hamas wametoa masharti yao na Israel wameyakubali.
Fake news na propaganda za kipuuzi. Wafilisti wasio tahiriwa na magaidi ukae nayo mjadili nini?. Israel hawakuanzisha vita, hawakutaka vita, lakini uwe na uhakika watashinda hiyo vita.
 
Alafu na mtu kama ww utakuta eti na ww unajiita umesoma 😃😃😃😃😃
 
Ufahamu historia ya Palestina wameisha teka sana Waisrael na wakatoa mashatti yao huko nyuma waliwahi kukataa masharti yao akajilipua nao Hamas siyo wajinga wanatoa mateka kwa hawamu.
Mfuasi wa mwamedi unajitekenya na kujicheka
 
Israel si walisema hawawezi kukaa meza mojo na Magaidi wa Hamasi[emoji23]
Israel hawajaomba kukaa na Hamas, na kama ni kwa maamuzi yao pekee, siamini kama wangekubali.

Lakini mateka wanaoshikiliwa ni wa mataifa mbalimbali, na hayo mataifa ndiyo yamekuwa yakitoa shinikizo kwa Israel kukubali kubadilishana mateka ili watu wao waachiliwe.

Katika Ulimwengu wa mashirikiano, kuna wakati nchi inalazimika kutenda yale ambayo mataifa mengine yanataka hata kama siyo matakwa ya Taifa husika.
 
and 13,000 palestinians killed. na bado kuna mtu anasema wameshinda vita. hizo ni akili au ubwabwa?
Mkiambiwa hamna akili nakasirika, aliye kwambia kushinda vita ni kuuwa raia hovyo hovyo ni nani?
 
kuna war cabinet lazima waridhie na pia makubaliano yanaweza pingwa mahakamani ndani ya saa 24. Israel sio kama kikundi cha masheikh ubwabwa lazima mambo yaende kwa utaratibu.
Pumbavu
Utaratibu wa kulipua majengo ya raia na kuua watoto na wanawake
Mbwa ww
 
Kubwa jinga. Unatunga uongo ili iweje unasema Israel iachie wafungwa wanawake na watoto. Hao watoto nap no wafungwa? jishtukie wakati mwingine
Kumbe ulikuwa haujui ya kuwa Israel imewafunga jera mpaka watoto wa miaka 10 magerezani?
Kuanzia leo ndo ujue kuwa Israel ni taifa la hovyo.
 
Kipindi wanasema hawawezi kukaa meza moja na magaidi walikuwa hawayajui hayo?
 
Netanyahu alisema hawezi kukaa meza moja na magaidi Hamas leo kikowapi Israel anawatumia Qatar kuwabembeleza Hamas, pia Hamas wametoa masharti yao na Israel wameyakubali.
Israel haina utamaduni wa kuongea na magaidi.

Tarajia kipondo mpaka mwisho.

Lengo ni kumpiga na kumtokomeza adui.
 
Kinachofanyika siyo ceasefire bali ni pause. Baada ya mateka kupokelewa, magaidi ya Hamas yanaendelea kutafutwa popote yalipo ili yamalizwe.
Pause ya nini waendelee kupigana wao si wamesema hawawezi kukaa meza moja na hamas au maji ya shingo [emoji1787]
 
Acha kujitetea kubali maji yamezidi unga [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…