Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Kuna taarifa nimeona kuwa meli za kivita za Iran zinaelea kama maboya coco beach hii unaizungumziaje!!Nchi za gulf state zilishirikiana na Saudi kuomba US kuishambulia Iran, wakionaIran ni kama tishio .
Kumbe Saudi Arabia na gulf states wanahusika na njama za kushirikiana na Israel kuiomba US kuvamia Iran kijeshi.
Mwezi uliopita Mohamed Bin Salman kiongozi wa Saudi alimpigia simu Trump mara kadhaa akimuomba kuishambulia Iran.
Benjamin Netanyahu pia aliendelea na kampeni yake ya muda mrefu kuiomba US kuishambulia Iran.
Aisee kumbe ndio maana Iran inapiga UAE, Saudi n.k
Kumbe jamaa snitches.
Maybe π€£Itakuwa yangeyange labda..
Kuna taarifa ndege tatu za US F-15E zimedunguliwa kama maembe na Iran, hii unazungumziaje?Kuna taarifa nimeona kuwa meli za kivita za Iran zinaelea kama maboya coco beach hii unaizungumziaje!!
Daah ila Iran πUshaambiwa wametoa onyo watu waondoke Israel, Silaha mpya zinakua Tested, tulia tumalize tarawehe Kwanza.
View attachment 3551267
Su-24 za Iran pia zimeramba mchangaπ€Kuna taarifa ndege tatu za US F-15E zimedunguliwa kama maembe na Iran, hii unazungumziaje?
WendaIna maana katika hao majenerali na viongozi waliokufa, Kuna ambao alikua nao karibu(watu wake)?
Kule kuwait zimedondoka jets ngapi?πUSA na Israel kwenye teknolojia za kivita hawa jamaa ni hatari na nusu.
Iran wana mikwara sana. Mikwara yao inafanana na ile ya Iraq na North Korea π€£.Ushaambiwa wametoa onyo watu waondoke Israel, Silaha mpya zinakua Tested, tulia tumalize tarawehe Kwanza.
View attachment 3551267
Kama hawana tena huo uwezo mbona silaha za USA zimekimbiziwa Cyprus? Vessel ya Oman imelipuliwa jana So waliolipua Hezbolah au? Abraham lincolin carrier yaliyomkuta huyaongelei.Kule kuwait jets 3 was shot down.Patheticπ₯π₯π₯π₯
Centicom: siku mbili nyuma Iran walikua na meli zaidi ya 11 kwenye ghuba ya Oman, lakini kwa sasa hawana hata moja. Serikali ya Iran ilikua ikitishia na kushambulia meli za kimataifa zinazopita hapo, kwa sasa hawana tena huo uwezo