Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: Israel muda huu inashambulia kwa makombora eneo la pasdaran. Mlipuko mkubwa
 

Attachments

  • 2026-03-03_00-53-15_0.mp4
    424.9 KB
Iran angekuwa na choice asingepigana hii vita lakini hana namna inabidi ajilinde. US na Israel ndio walioanzisha vita ina maana walijiandaa kumshambulia Iran. Iran hata kubali kufa mwenyewe lazima atakufa na watu wengine akina UAE,Qatar,Kuwait etc. Hana namna.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel muda huu inashambulia kwa makombora eneo la parachi. Milipuko mikubwa (severe explosions). Huenda pia ni ya B-1
 
Yaani Iran bana….nimewadharau sana.

Hayo yote kwa nini hawakuya anticipate?

Yaani hawakujua kuwa electronic devices zinaweza kudukuliwa?

Hapo ndipo ninapomvulia
Kofia Osama.

Jamaa aliwahenyesha CIA kwa miaka 10!
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel muda mchache uliopita imeshambulia kwa makombora kituo kikubwa cha atomic Amir abad shomali
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel muda huu inashambulia tena eneo la Mashhad. Milipuko mikubwa
 
Yaani Iran bana….nimewadharau sana.

Hayo yote kwa nini hawakuya anticipate?

Yaani hawakujua kuwa electronic devices zinaweza kudukuliwa?

Hapo ndipo ninapomvulia
Kofia Osama.

Jamaa aliwahenyesha CIA kwa miaka 10!
Iran ina UCCM kingine Mullas walipata madaraka jambo kubwa wakainvest kulinda Mapinduzi na kueneza ideology yao wakasahau kuwekeza sehemu muhimu kama hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…