Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Jeshi la Israel limesema limeshambulia kituo cha mawasiliano cha serikali
 
Amesema anafunga mfereji wa Hormuz.

Their next move anaweza akaamua kufanya fujo vituo vyote vya mafuta na gesi, na kushambulia meli, badala ya kushambulia Israel sana
Anajua anakufa kwahio hataki kifa mwenyewe. Washafunga Hormuz strait wamesema kitakachopita watakiwasha moto. Trump kasema washazamisha meli za kivita za Iran kama kumi hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…