Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel muda huu inashambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Karaj
 
Ila kwa ground Iran ndio anachezea kichapo au? Tangu jana mashambulizi ya Iran yamepungua ila Israel ndio anashambulia sana. Ni strategy au pumzi inakata?
 
Futari inalika kweli?
 
Ila kwa ground Iran ndio anachezea kichapo au? Tangu jana mashambulizi ya Iran yamepungua ila Israel ndio anashambulia sana. Ni strategy au pumzi inakata?
Ni media tena maarufu. Wanaficha sana yanayoendelea Israel, tafuta vyanzo toka twitter ambavyo wana post mashambulizi ya Iran utaona.

Iran inaendelea na mashambulizi kama kawa, hawawezi kuishiwa missiles.
 
Mkuu unaongea sana ila kwa ground mambo tofauti. Una rate Iran juu sana. Muda utaongea.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
RRONDO msikikilize Netanyahu hapa akiwa ametembelea jeshi la anga. Anaeezea mashambulizi yanayoendelea ndani ya Iran na Lebanon. Naamini maswali yako yatakua yamepungua kidogo
VideoπŸ‘‡
 

Attachments

  • 2026-03-03_19-18-46_0.mp4
    3.9 MB
Ni media tena maarufu. Wanaficha sana yanayoendelea Israel, tafuta vyanzo toka twitter ambavyo wana post mashambulizi ya Iran utaona.

Iran inaendelea na mashambulizi kama kawa, hawawezi kuishiwa missiles.
Mbona USA wanaweza kutoa footage kutoka kwenye ndege zao? Iran watoe footage zao wanapopuga sensitive targets za Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…