Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ww ebu acha hizi story kwa hiyo unajua kuliko MOSSAD NA CIA?? Halafu taifa la kigaidi kama Iran linarutubisha nuclear kwa ajili ya kutengeneza atomic bomb! That is their main goal!
 
BREAKING: Kurdish volunteers are expected to begin ground operations within days after thousands of weapons were smuggled into western Iran since last year-ITV
 
Ww ebu acha hizi story kwa hiyo unajua kuliko MOSSAD NA CIA?? Halafu taifa la kigaidi kama Iran linarutubisha nuclear kwa ajili ya kutengeneza atomic bomb! That is their main goal!
Mossad na CIA ni miungu?

Usitake kuwafanya wana u special sana..

Hao ndio walisema Saddam Hussein ana WMD(silaha za maangamizi), akavamiwa na nchi 42(operation desert storm). akanyongwa, baadae kuja kukagua hana silaha yoyote ya maangamizi.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Iran imefanya mashambulizi ya drones kweny ubalozi wa marekani uliopo Dubai
 
Ammunitions ni very expensive,miaka 5 ya vita huo uwezo wa kutumia hypersonic hana atafirisika
Umetengeneza hoja mbili na sijui ipi ni sahihi.

Unasema Iran haina hypersonic kwa sababu wangekuwa nayo wangeibadili Tel Aviv kuwa majivu.

Unasema tena Russia hawawezi tumia hypersonic Ukraine kwa sababu watafilisika.

Kwani kugeuza sehemu yeyote ndani Kyiv ingepelekea Russia kufilisika?

Kitu ambacho huelewi hypersonic haipimwi kwa uwezo wake wa kulipua sehemu kubwa, hio inategemea na warhead waliyofunga, hypersonic ni kutokana na uwezo wake wa kasi kuanzia mach 5 na kuendelea na pia uwezo wake wa kuhama hama kwenye njia ili kukwepa air defense huku ikiwa na kasi ya hali ya juu. Hivyo huelewi utofauti wa hyprsonic na ballistic.
 
Zote can be hypersonic tofauti ni trajectory tuu, fixed and other unpredictability, acha league
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Iran imerusha tena makombora kuelekea Israel. King'ora cha tahadhali kimelia kusini na kaskazini mwa Israel
 
Zote can be hypersonic tofauti ni trajectory tuu, fixed and other unpredictability, acha league
Missile ikiwa na mach 4 inafanya maneuver na kukimbia, hio sio hypersonic..

Hypersonic lazima ianze na mach 5 kwenda juu na ifanye maneuver.

Missile ikienda mach 7 na hai maneuver hio sio hypersonic...

Fattah-2 inakwenda mach 13 na ina maneuver...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…