Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Waziri wa vita wa marekani: sisi ndio tunaoamua vita iwe vipi. Tunashambulia kwa nguvu bila vikwazo vyovyote. Tunawashambulia wao wakiwa chini. Vifo na maangamizi kila siku
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Waziri wa vita wa marekani: Tumeweza kuidhibiti Iran angani na majini bila kupeleka Askari wa miguu
Sasa wapeleke wakasafiche uchafu uchafu mdogo mdogo uliobaki vita visiishie mdomoni,truth,twitter na kwenye press conference.

Marekani ya sasa imekua na viongozi waongeaji kama msema wa Iraq ya Saadam too much talking
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Waziri wa vita wa marekani: viongozi wa juu wa serikali wameuwawa, mrithi aliyetakiwa kuchaguliwa Kama ayatollah amekufa, au hajulikani alipo au yupo chini ya handaki
Wakuu aa jeshi, maafisa wa kati wa jeshi na wa vyeo vya kawaida hawawasiliani au kuongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…