City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Ngoja tusubiri mkuuSasa wapeleke wakasafiche uchafu uchafu mdogo mdogo uliobaki vita visiishie mdomoni,truth,twitter na kwenye press conference.
Marekani ya sasa imekua na viongozi waongeaji kama msema wa Iraq ya Saadam too much talking
Bora hawa wataalam wazungumze lakini sio hawa viongozi wa kisiasa wanaoropokwa tu.💥💥💥💥
General caine: Tutaanza kushambulia kwa nguvu ndani zaidi ya Iran
Naomba Israel wachukue na lemba la gaidi Ayatollah wakat anapelekewa Moto 🤣🤣🤣Yaani Tehran na Gaza hakutakuwa na utofauti...ISRAEL anaenda kuigeuza Tehran kuwa GAZA anachukua udhibiti wa Vinu vya Nuclear na Visima vya Mafuta
Mh, mbona viongozi wa juu wa Iran wataisha wabaki wahuni💥💥💥💥
Muda huu imefanyika assassination operation karibu na parnian kaskazini mashariki mwa Tehran. Taarifa zaidi itakuja
View attachment 3552333
Duuh aisee!! Hatari sana!!