City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Sio hawakukizi sababu jamaa walikuwa wanatoa data za ukweli kwa walio angamizwa, majengo yaliyopigwa ya Myahudi na Pale Palestina walikuwa wanaonyesha kila uonevu na ubabe wa Myahudi kwa Palestina,hata Iran hazihitaji CNN wala BBC sababu hataki apost habari za kivita na nchi yake,hii ndio sababu kuu.Mkuu wala usiende mbali, Al Jazeera waliondolewa sababu hawakidhi matakwa au habari wanazotaka Israel. Lugha nzuri hawakua pro government
Hivyo hivyo kwa cnn na BBC nao waliondolewa Iran sababu hawakidhi matakwa na habari wanazotaka Iran. Lugha nzuri hawakua pro government
Mkuu mbona umerudia nilichosema? Hawakua pro government, hawakua wakiandika ambacho serikali inataka. Hapa bado hujaelewa ?Sio hawakukizi sababu jamaa walikuwa wanatoa data za ukweli kwa walio angamizwa, majengo yaliyopigwa ya Myahudi na Pale Palestina walikuwa wanaonyesha kila uonevu na ubabe wa Myahudi kwa Palestina,hata Iran hazihitaji CNN wala BBC sababu hataki apost habari za kivita na nchi yake,hii ndio sababu kuu.
Hujasema hiki nilicho kisema mimi. Kwani kwa professionalism na Journalism, mtu anatakiwa akizi vigezo gani ili aweze kurusha habari?Maana wewe umetumia neno kukizi......Mkuu mbona umerudia nilichosema? Hawakua pro government, hawakua wakiandika ambacho serikali inataka. Hapa bado hujaelewa ?
Mkuu tuliza jazba kidogo. Nachomaanisha hawakuwa wakifanya Yale ambayo serikali inapenda/inataka.Hujasema hiki nilicho kisema mimi. Kwani kwa professionalism na Journalism, mtu anatakiwa akizi vigezo gani ili aweze kurusha habari?Maana wewe umetumia neno kukizi......
Una uhakika ama source kuthibitisha ho shule kulikuwa na military base chini?Nursery school inaweza kuwa kivuli cha military base ndio.
Juu watoto wanasema A for Apple chini magaidi yanasema D for DEATH FOR AMERICA
Ukitumia samaki kuficha nyoka jiandae kuuliwa kwa nyoka na samaki asie na hatia.
Watoto wameniuma sana roho waleπ₯
Yale yale sehemu gani nimeonyesha jazba, so ndio kukizi? Sema hawataki chombo kitakacho sema ukweli kwa yale yatakayo endelea kwenye ardhi yake,hiko kitu si US, Myahudi na Iran hawakitaki na nchi za Magharibi pamoja na US wazuri sana kwenye proganda na kupika data, ndio maana wanaogopa vyombo vinavyo ongea ukweli.Mkuu tuliza jazba kidogo. Nachomaanisha hawakuwa wakifanya Yale ambayo serikali inapenda/inataka.
Hapa bado hujaelewa?
Huu uzi umeshavamiwa na mbumbumbu mtu anaropoka tuUna uhakika ama source kuthibitisha ho shule kulikuwa na military base chini?
Military base ya chini unapiga bunker buster, hapo walilipua kwa missile ya kawaida ya kupiga majengo...
Iran sio magaidi, magaidi ni hao waliingia Gaza na kuua watu sabini elfu na makumi elfu ya vitoto vidogo.. kwa makusudi. Ukitaka ushahidi nakupa.