Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hii vita taratibu Israel naUS wanaanza kuona regime change ni ndoto za mchana.
Naona pia anataka awatie hasara na gharama kubwa pamoja na washirika wao watakao jihusisha na hii vita. Tena Kawapa huu ujumbe pia
JUST IN: 🚨🇮🇷🇮🇱

Iran threatens to strike Israel's Dimona nuclear reactor if US and Israel attempt to topple its regime.
 
Hapo Israel inaweza rusha nuclear..
Iran apige bunge la Israel, makao makuu, nyumba ya Netanyahu na viongozi wenzake..

Apige meli za US zote..
Kuna dstroyer wameilenga ya US...

A trace na hizo ndege zinapotokea atandike
 
Iran has threatened to strike Dimona if the US and Israel seek regime change.
NB: Iran kaanza maneno ya kwenye khanga,kuua kwa Ayatollah ni red line tosha,wapige wanapoweza.
Vita sio mihemko ni akili napia wao irani ni wastaarabu sana sio kama hao blood suckers USA na Israel. Maana wanajua madhara yatakayotokea wakipiga hapo dimona. Hapa utanielewa kama ulishawahi kuona HBO series ya chernobyl.
ndiio maana hii ni kete ya mwisho kwao wakiona kuna hatari ya wao kupotezwa kabisa na USA na Israel.
 
Video nyengine hii wanapiga rangi
Your browser is not able to display this video.
 
Hapo Israel inaweza rusha nuclear..
Iran apige bunge la Israel, makao makuu, nyumba ya Netanyahu na viongozi wenzake..

Apige meli za US zote..
Kuna dstroyer wameilenga ya US...

A trace na hizo ndege zinapotokea atandike
Kuhusu nuclear hata Israel hawezi kujaribu kwa sasa maana madhara yake sio kwa irani pekee ni middle east nzima na hapo haijulikani Iran wata retaliate vip sababu hatuna uhakika 100% kwamba na wao hawana hilo bomu maana jamaa ni wasiri sana kuhusu uwezo wa jeshi Lao ndio maana Netanyahu alitaka Irani wakaguliwe siraha zao za kijeshi.
 
Ila Iran bwana sasa hivi Dubai hizo shahed zinapita kama Taxi Tu

Your browser is not able to display this video.


Halafu kuna watu wanakwambia wamejiandaa, vidrone hapo vinasaka Tu Askari wa USA akionekana Tu kinaenda kujilipua.
 
Ila Iran bwana sasa hivi Dubai hizo shahed zinapita kama Taxi Tu

View attachment 3552659

Halafu kuna watu wanakwambia wamejiandaa, vidrone hapo vinasaka Tu Askari wa USA akionekana Tu kinaenda kujilipua.
Ni mwendo wa amsha amsha yaani jamaa anawadharau sana kwa mabilioni ya pesa wanayotumia kwa ajili ya kulindwa na USA.
 
Mkuu 100 others
🚨 House votes to subpoena Pam Bondi over Epstein files cover-up

The Oversight Committee just forced the Attorney General to testify—24-19, with bipartisan support.
 

Attachments

  • VID_20260305_024728_509.mp4
    835.7 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…