King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
Huwa sibishani sana na watu wanoatumia mahaba na hisia kufikilia ndio maana nimekwambia mda utaongea.Hakuna ** Time will tell** Iran lazima anagaragazwa na atakuja kujuta kwa nini alipigana na Israel.
Irani nae anapigika hilo sikatai ninachokataa ni hawa Israel na Marekani kusema hawapigiki tena kama marekani utasikia wamekufa wanajeshi wa 5 tu na majeruhi kidogo๐Nakupata mkuu. Ila Iran kichapo kinatembea au sio?
Hivi chanzo chako ni kipi? Maana tunaambiwa Tel aviv imekuwa kama Gaza ila taarifa zimeminywa? Yaani kizazi hiki cha social media zote usizuie zisirushe video za mabomu? Hata Iran au UAE tunapata picha za watu wa kawaida wakiwa madirishani wanarekodi.๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora kambi ya nurabad iliyopo Lorestan
View attachment 3552829
Makoti yanaanza kupwaya! tunatuma majini kuiangamiza Israel na mshirika wake! Soon as possibleUshachamganyikiwa na makoti yako
Anaripoti akiwa ktkt baina ya Israel na Iran.Hivi chanzo chako ni kipi? Maana tunaambiwa Tel aviv imekuwa kama Gaza ila taarifa zimeminywa? Yaani kizazi hiki cha social media zote usizuie zisirushe video za mabomu? Hata Iran au UAE tunapata picha za watu wa kawaida wakiwa madirishani wanarekodi.
Point ya 10 ndio matokeo ya vita hii kwa mujibu wa watabiri. Israel itakuwa na influence kubwa sana middle east na dunianiHii ni kura ya maoni inayouliza nini sababu kuu ya vita kati ya Iran ๐ฎ๐ท,Israel ๐ฎ๐ฑ, na Marekani ๐บ๐ธ
1๏ธโฃ Israeli lobby compromising American leadership
Wanaomaanisha: kuna ushawishi mkubwa wa wanasiasa au makundi yanayoiunga mkono Israel ndani ya Marekani hivyo Marekani inaweza kuunga mkono vita dhidi ya Iran.
2๏ธโฃ Distraction from the Epstein files
Hii ni nadharia inayosema vita vinatumiwa kuondoa umakini wa watu kwenye kesi ya Jeffrey Epstein.
3๏ธโฃ US military-industrial complex pushing for more weapons
Hii inamaanisha makampuni ya silaha ya Marekani kama Lockheed Martin au Raytheon Technologies yanaweza kufaidika na vita kwa kuuza silaha nyingi zaidi.
4๏ธโฃ AI giants entering the war profiteering game
Nadharia kuwa makampuni ya teknolojia/AI yanaweza kufaidika na teknolojia za kijeshi.
5๏ธโฃ Beginning of World War III
Watu wengine wanaogopa kuwa mgogoro mkubwa kati ya Iran, Israel na Marekani unaweza kusababisha Vita vya Tatu vya Dunia.
6๏ธโฃ Trumpโs ambition to โmake historyโ
Hii inamhusisha rais wa Marekani Donald Trump, ikimaanisha labda alitaka kufanya tukio kubwa la kihistoria.
Hii pia ni maoni ya kisiasa.
7๏ธโฃ Seizing control of Iranian oil and gas
Wazo kwamba nchi kubwa zinataka kudhibiti mafuta na gesi ya Iran.
8๏ธโฃ Preventing Iran from becoming a trade hub
Iran iko karibu na Strait of Hormuz, njia muhimu sana ya usafirishaji wa mafuta duniani.
Nchi zingine zinaweza kuwa na maslahi ya kimkakati kwenye njia za biashara.
9๏ธโฃ Crushing a sovereign nation resisting the globalist financial elite
Hii ni lugha ya kisiasa inayotumiwa na baadhi ya watu wanaodhani Iran inapinga mfumo wa kifedha wa kimataifa.
๐ Greater Israel expansion
Nadharia kwamba Israel inataka kupanua ushawishi wake wa kikanda.
RRONDO 100 others matunduizi baba-mwajuma Khaibar OHB11
Hivi Iran kuna uhuru wa habari kuliko Israel? Naweza kukubali kuna sensitive area wakitandikwa hawawezi kuruhusu watu kufika karibu ila kurekodi kwa mbali na kupost social media hakuna anaekatazwa.Irani nae anapigika hilo sikatai ninachokataa ni hawa Israel na Marekani kusema hawapigiki tena kama marekani utasikia wamekufa wanajeshi wa 5 tu na majeruhi kidogo๐
Dah mkuu huko tuendako sioo pouwah kabisa.Utabiri wa Prof Jian mchina huyu.
Haya yanayotokea mwaka jana. Unaweza kumfuatilia tiktok highlights zake.
Alitabiri US kuivamia Venezuera
Anasema hii vita Iran itarudishwa nyuma sana lakini haitashindwa US ndiye atakayeshindwa na maeneo yake uarabuni yatachukuliwa na israeli.
Japan India China watakombana
Kutakuwa na kacivil war US
Russia Ipigana kidogo na Ulaya
Mwisho wa hili seleseke kwa mujibu wake ni kama WW3 na matokeo yake ni kuibuka kwa kiti kinachoitwa PAX JUDEICO.
Israeli itatawala global surveillance na middle east yote na kuwa na ushawishi mkubwa duniani.
Nini maoni yako
Vitu vingi alivyovitabiri vimetokea na vinatokeaDah mkuu huko tuendako sioo pouwah kabisa.
Tatizo mnatumia hisia๐,,jf bhana๐ฎ๐Hakuna ** Time will tell** Iran lazima anagaragazwa na atakuja kujuta kwa nini alipigana na Israel.
Tatozo lenu Waarabu-koko mnapoona mnaenda kushindwa hamkosi Matusi,Uongo na kujifanya victim ili muonewe huruma na watu. Kwa taarifa yenu tu safari hii mmeingia kwenye 18 za Muyahudi lazima mtoe tu mtabana lakini sasa mmeachia!!Huwa sibishani sana na watu wanoatumia mahaba na hisia kufikilia ndio maana nimekwambia mda utaongea.
Mkuu ndani ya Israel kuna uminywaji mkubwa sana wa habari.Hivi chanzo chako ni kipi? Maana tunaambiwa Tel aviv imekuwa kama Gaza ila taarifa zimeminywa? Yaani kizazi hiki cha social media zote usizuie zisirushe video za mabomu? Hata Iran au UAE tunapata picha za watu wa kawaida wakiwa madirishani wanarekodi.
Umeona sasa ulivyo idiot, kwamba kila anaeikosoa Israel ni mwarabu.Tatozo lenu Waarabu-koko mnapoona mnaenda kushindwa hamkosi Matusi,Uongo na kujifanya victim ili muonewe huruma na watu. Kwa taarifa yenu tu safari hii mmeingia kwenye 18 za Muyahudi lazima mtoe tu mtabana lakini sasa mmeachia!!
Kwahyo unakataa kwamba Israel na Marekani hawaminyi habari zao, ili mbona hadi mitandaoni limezungumziwa sana. Au unafikiri kwamba hatujui hii tabia ya Israel hajaanza Leo.Mkuu unamaanisha marekani akishambuliwa base zake taarifa haziji?? Unamaanisha pia Israel akishambuliwa ndani taarifa haziji?
Habari unaweza kuzicontrol vipi zisitoke??
Hivi unajua leo ni siku ya 5 Iran Hakuna internet kabisa, lakini bado matukio tunayapata? Vipi kwa nchi zenye base za marekani ambapo Internet ipo free?
Acha ujinga wako fungal bakuli lako kama huna hoja!!!Umeona sasa ulivyo idiot, kwamba kila anaeikosoa Israel ni mwarabu.