We jamaa unapendaga ubishi usio na kichwa wala miguu.Kumbe kabla ya hii vita pesa zilikua zinawanufaisha wananchi😀
Trump anapigwa sio kwa sababu ya hii vita, trump anapigwa ni sababu ya tabia zake za hovyo hovyo. Jamaa analiendesha taifa jinsi anavyotaka yeye pembeni kazungukwa na machawa wa kutosha
Hayo masuala ya kusema sijui pesa za wananchi zinatumika vibaya hazina mashiko kabisa
Iran inatuma decoys za kutosha sana Israel.. kwa ajili ya kumaliza interceptors zao, so far hali ni nzuri, maana nadhani una habari serikali ya Trump wanataka kukutana na wazalishaji wa silaha kuongeza uzalishaji. Hii ina maana interceptors zinaisha.Video na picha zipo wapi😀... Angalia Al Jazeera sasa hivi au office yenu haina TV. makombora yote yamekua intercepted
Dog fight ya Jana Tehran umeisahau mapema hivi😀Bunker buster wanatumia muda tu,ila wanayarusha wakiwa 400+km, wanaogopa kudunguliwa
USA ni taifa la vita mzee, hizo propaganda hata uko Ukraine walikua wasema hivyo hivyo kwamba Russia anaishiwa silaha 😀 hajabu hadi leo mwamba anatembeza kichapo sio poaIran inatuma decoys za kutosha sana Israel.. kwa ajili ya kumaliza interceptors zao, so far hali ni nzuri, maana nadhani una habari serikali ya Trump wanataka kukutana na wazalishaji wa silaha kuongeza uzalishaji. Hii ina maana interceptors zinaisha.
Na China ndicho kitu anataka..Unajua maana ya asymmetric warfare?
Mm saingalii hii vita kiushabiki.
Naitazamaa katka angle mbili, Moja kiuchumi, mbili Kijeshi.
Kiuchumi mpaka Sasa Iran ameshinda,
Hivi unajua Gulf Countries Saudia, UAE, Qatar, Kuwait Asilimia 80 ya uchumi wao inategemea Strait of Hormuz ambayo ndiyo ipo hapo Iran, unalijua hilo?
Sasa Iran amefunga Strait of Hormuz, Gulf Countries zimeanza kudhoofika.. hakuna kinacho toka Wala kuingia.. kama unavyo jua hizo Gulf Countries sehem kubwa ni majangwa Kwa hiyo 80% ya bidhaa wanaagiza kutoka nje zinapitia hapo Strait of Hormuz ambayo imefungwa... Saivi no importation or Exportation...
Viwanda vinavyo refine oil hapo Gulf Countries vimefingwa visima vya mafuta vinaungua... Nani mwenye hasara hapo?
Kwa mjibu ya website ya Aljezera inasema Kuwa hizo nchi kwa siku Moja zinapata hasara ya zaidi ya Dollar $1B.. kule Marekani zinapotea zaidi ya Dollar $700M kila siku ya Vita.. hapo unasemaje Iran atashindwa?
Kama vita ikiendelea ndani ya mwezi mmoja tu basi tutegemee hasara economic great depression kwa Dunia mzima siyo gulf countries.
Kijeshi tafuta hichi kitu asymmetric warfare..
Iran siyo superpower lakini ameonyesha ubora ambao wengi hatukutegemea... amemweka uchi USA.
Anyway tuendelee kuangalia hii sinema
si walisema taarifa hazitoki uko Israel, wewe umetoa wapi hizi picha😀🚨🇮🇷🇮🇱 Destruction in Tel Aviv.
Slowly, it’s starting to resemble Gaza.
Uzuri ni kwamba US anacho ch kupoteza, maana huwa anakumbatia uchumi wake kuliko chochote..USA ni taifa la vita mzee, hizo propaganda hata uko Ukraine walikua wasema hivyo hivyo kwamba Russia anaishiwa silaha 😀 hajabu hadi leo mwamba anatembeza kichapo sio poa
Chini ya USA ya bwana trump utashuhudia mengi sana
Dark web.si walisema taarifa hazitoki uko Israel, wewe umetoa wapi hizi picha😀
Kwani Israel wamezui taarifa zisitoke nje?Yamekua intercepted kwa mujibu wa IDF?..waruhusu habari huru kama Iran
Na atapoteza sana... Huruma yangu ni kwa Gulf Countries hii vita ikiendelea hivi ukimya utawaisha na watatoa matamko kumwonye USA saivi baado Wana vingivu vya kusukumia maisha.Na China ndicho kitu anataka..
Njia pekee ambayo US na Israel wanaitumia ili kujitutumua, ni mashambulizi mazito ya kuizidi Iran, kitu ambacho pia wanatumia gharama na kuingizwa kwenye mitego mara nyingi...
China meli zake zinaruhusiwa kupita Hormuz, hii ina maana US siku zinavyozidi kwenda anazidi kupoteza.
Hapakua na dog fight Tehran,dog fight imefanyika nje ya Tehran sukhoi na mig za iran zilitunguliwa na ndege za Qatar au UAE, zilikua dk 1 kufikia kambi kuu ya marekaniDog fight ya Jana Tehran umeisahau mapema hivi😀
Suala la uminyaji wa taarifa tushalizungumzia sana mkuu na kulitolea ufafanuzi labda tu hujapitia vizuri hii thread hivyo rudia kuipitia vizuri utapata majibu picha nimezitolea wapi?si walisema taarifa hazitoki uko Israel, wewe umetoa wapi hizi picha😀
Hii vita USA na Israel itawachachafya sana.Na China ndicho kitu anataka..
Njia pekee ambayo US na Israel wanaitumia ili kujitutumua, ni mashambulizi mazito ya kuizidi Iran, kitu ambacho pia wanatumia gharama na kuingizwa kwenye mitego mara nyingi...
China meli zake zinaruhusiwa kupita Hormuz, hii ina maana US siku zinavyozidi kwenda anazidi kupoteza.
hapo kwa mwamba Putin sina neno🙌Uzuri ni kwamba US anacho ch kupoteza, maana huwa anakumbatia uchumi wake kuliko chochote..
US si taifa la vita, Russia ndilo taifa la vita, WWII US asingetumia nuke, asingeweza toboa kwa Japan...
Al Jazeera wamepigwa marufuku kuripoti wakiwa Israel na Palestine,kutuma picha nje ya Israel kumepigwa pini, akaunti za social media zilizokua zikiripoti ziko banned,kupata hizo picha uende dark web ambako hawakawii kukuhack na kukuharibia simuKwani Israel wamezui taarifa zisitoke nje?
Nipo naangalia Al Jazeera muda wote, madhara upande wa Israel wanaonyesha