gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Sasa hivi mnapewa warning,dakika baadae Fateh inatua, wakati ilikua dk 5-15Hivi sasa Israel kuna makombora yanafika bila alarm, yaan ni hatari, mifumo iliyounganishwa ya ulinzia wa anga gulf states ilikuwa inarusha taarifa hadi Tel Aviv.
Ndio maana US analalama kwamba Russia kauza plans..
Early warning radars nyingi zimepigwa.. hivi sasa hali haitabiriki sana Israel, wanakaa kwa umakini, maana missiles kama hizo za hypersonic toka Iran hadi Israel ni dakika chache sana...
Iran inaendelea vyema na strategy yake, na inaonyesha mafanikio makubwa.
1-Kuharibu early warning radars gulf states.
2-Kushambulia kambi za adui gulf states.
3-Kufunga mlango bahari wa Hormuz.
4-Kumaliza interceptors kwa nchi washirika wa US na Israel.
Baada ya hapo tutegemee mashambulizi makali zaidi kwenda Israel.
Israel na US plans zao zinafeli.
-Kuondoa utawala wa Iran.
-Kuharibu mpango wa nuclear wa Iran.
-Kuharibu mpango/uwezo/kupunguza wa kutengeneza missiles wa Iran
Katika hayo yote hakuna hata moja wamefanikisha.
Ngoja siku ya idi utauza sanaUmentonrsha kidonda.Tokea mwezi mtukufu uanze sijapata hata mteja mmoja wa kitimoto na hii ndo biashara nasomeshea wajukuu zangu.😪😩
Hizo Gulf Countries zinalalamika interceptors zimeisha.. na USA hapeleki badala yake anazipeleka Israel..Hii vita USA na Israel itawachachafya sana.
Maana China na Urusi wanammiminia tu silaha na taarifa za kiintelijensia Iran.
Kama ile thermobaric bomb Iran kapewa hajaliunda yeye lile.
Iran ina advantage ya kijiografia tofauti na Israel.
I swear Iran ikiendelea na attrition war na kurusha hizo cluster munitions ndani ya mwaka Israel inageuka Gaza completely.
North Korea naye anafanya majaribio ya silaha anatamani leo kesho Iran imuombe silaha au imuombe hata jeshi.
USA inaenda kupoteza kiuchumi.
Mabosi wa UAE wameanza kumfokea Trump twitter.
Pia wanalalamika Usa inaonekana mshirika wake wa muhimu ni Israel tu,amehamisha logistic muhimu kwenda kumsaidia Israel na ameacha nchi zao uchi.
Pia mashambulizi ya Azerbaijan na Cyprus UK wamesema hayajafanywa na IRAN kwa mujibu wa uchunguzi.
Naona Israel ana raise false flag.
Habari njema, magaidi yaangamizweBREAKING: 🚨🇮🇱🇺🇸 🇮🇷
Israel and the U.S. attack IRGC HQ in Ilam, Iran
Nothing it's Psychological warfare 😂JUST IN: 🚨 🇺🇸🇮🇷
President Trump says "there will be no deal with Iran except unconditional surrender."
Kitakachomsaidia irani ni kukataa cease fire. Kwa sababu ana uzoefu mkubwa sana wa vita vya mda mrefu mfano vita yake na Iraq ya takribani miaka 8 huku Iraq akisapotiwa na mataifa makubwa ya magharibi hasa marekani. Kingine pia Irani kapigwa sanction kwa mda mrefu takribani miaka 40 na bado yupo vizuri.Hizo Gulf Countries zinalalamika interceptors zimeisha.. na USA hapeleki badala yake anazipeleka Israel..
Na kule Pentagon walimtarifu Trump Kuwa kama hii vita ikidumu kwa siku 10 basi wategemee stockpile yao ya interceptors kupungua kwa kiasi kikubwa sana.
Binafsi sioni hii vita ikidumu kwa siku zaidi ya 25 maana tayari maana tayari tumeo negative impact kubwa katka uchumi wa Dunia...
They call it psychological warfare 😂Tatizo ni kwamba propaganda za US nyakati hizi hazifanikiwi..
Operation desert storm, US waliweza kuishawishi dunia, wakamvamia Saddam nchi 42.
Leo hii US yupo na Israel pekee huku nchi kama Spain inawakataa, wanaiomba maada Ukraine, na wameomba THAAD waazimishwe kutoka S Korea na Ukraine.
Nyakati za cheap propaganda zimeisha.
Huyu mzee kwa mikwala tu hajambo.😁Nothing it's Psychological warfare 😂
Nilisema hapa kuhusu hizo radar kupigwa , ni Integrated Air and Missile Defense (IAMD). Hata yale ma carrier yalikuwa yanategemea pia hizo radar.Sasa hivi mnapewa warning,dakika baadae Fateh inatua, wakati ilikua dk 5-15
Hapo USA atakimbia mwenyewe... Kama alivyo kimbia kule TalibanKitakachomsaidia irani ni kukataa cease fire. Kwa sababu ana uzoefu mkubwa sana wa vita vya mda mrefu mfano vita yake na Iraq ya takribani miaka 8 huku Iraq akisapotiwa na mataifa makubwa ya magharibi hasa marekani. Kingine pia Irani kapigwa sanction kwa mda mrefu takribani miaka 40 na bado yupo vizuri.
Aisee... Kabla ya vita.. hizi silaha ukizisikia unaweza kuogopa utadhani teknolojia ya halii ya juu sana.. but nothing.Nilisema hapa kuhusu hizo radar kupigwa , ni Integrated Air and Missile Defense (IAMD). Hata yale ma carrier yalikuwa yanategemea pia hizo radar.
Iran inazidi kufanikiwa katika plans zake.
US na Israel wanaonekana kubadili plans, ukishaanza kubadili mikakati jua kabisa unakwenda kupotea. Iran wana stick kwenye plans.
Wamesahau kule Ukraine waliyo kua wanamsaidia.The Washington Post writes that Russia is helping Iran with satellite intelligence, providing information about the locations of American ships and aircraft. According to the newspaper, there is no evidence that China is providing such assistance to Tehran (but this is not certain).
However, this should not have come as a surprise to the Americans. Last year, Yemen’s Houthis received the same kind of satellite assistance.
Namna hiyo 😁😁🔥Iran Revolutionary Guard Corps.
-"Nchi ipo chini ya mamlaka ya kijeshi na jeshi litaendesha vita pasi na kujali mipaka wala sheria za kimataifa,yule wa kutoa amri ameshakufa(Khamenei) na amri imerudi kwetu rasmi".
Kimeumana!
Dah marekani ni mnafiki aliye anaye sahau mapema unafiki wake.Wamesahau kule Ukraine waliyo kua wanamsaidia.