Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Fact lakini watapinga
 
๐Ÿšจ Minab school MASSACRE was carried out from USโ€™ Al Dhafra air base in UAE - IRGC

๐Ÿ’ฌ "The criminal attack on the Shajare Tayebe school, which led to the deaths of 165 schoolgirls, was carried out from this base," the IRGC said in a statement, as quoted by the Fars news agency.
 

Attachments

  • Screenshot_20260306_185420_Telegram.jpg
    118.7 KB · Views: 6
Hata hivyo haifanyi kazi kama vile USA ilivyo Kuwa inai-hype! Mabom mengi sana yanafika Tel Aviv & Jerusalem ni vile tu wamethibiti sana social media
Mengi yanakuwa intercepted, mbona Iran kazima internet hata wakati anawaua waandamanaji nchini kwake mbona alizima internet, au ni vile tu pro Iran mnamtetea bwana wenu
 
Wanaiomba maiti damu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคฃ
 
Aisee... Kabla ya vita.. hizi silaha ukizisikia unaweza kuogopa utadhani teknolojia ya halii ya juu sana.. but nothing.

Kitu kama Iron dome ni utapeli mkubwa sana.

Huyu Marekani akiingia Battle na Mrusi anachakazwa vibaya sana
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Iron dome ilivyokuwa inasifiwa kama ni opponent wa USA au Israel lazima uzimie before hata hawaja kuvamia ,

Kumbe bwana ni sawa sawa na kununua kitu online tu ukisha kununua Sasa ndio unajua uhalisia wake kuwa umepigwa na kikuu on line market ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kwa mjibu ya website ya Aljezera inasema Kuwa hizo nchi kwa siku Moja zinapata hasara ya zaidi ya Dollar $1B.. kule Marekani zinapotea zaidi ya Dollar $700M kila siku ya Vita.. hapo unasemaje Iran atashindwa?
Mkuu nina maswali kutokana na hizi hoja zako:
  • Iran yeye kwa siku anapata hasara kiasi gani? Au wao hawapati hasara
  • Iran yeye anafanya hizo exportation na importation?
 
๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kusini mashariki mwa Shiraz. Milipuko mikubwa
 
Aisee unachekesha sana. Yaani wewe ujue hizo mbinu za Iran halafu USA wasijue! Amazing.
Unaweza kujua adui anatumia mbinu flani na bado ukashindwa kupambana nae..

Mfano.

Iran hivi sasa wanaweka fake aunchers ambazo ni magari yanabeba mapipa au mabati yanachongwa mfano wa missiles, wanaweka hayo magari sehemu flani kimkakati, ndege za Israel wanaona ni launchers na zina missiles.

Halafu ndege zao na missiles camera zake ni ile za thermal camera, black and white na low resolution, wanalenga, wanapiga lorry imebeba mabomba.

uwezi acha kulenga maana hufahamu ukweli ni upi, huwezi acha kulenga ukisema labda si kombora halisi... what if kama ni lenyewe?
 
Mengi yanakuwa intercepted, mbona Iran kazima internet hata wakati anawaua waandamanaji nchini kwake mbona alizima internet, au ni vile tu pro Iran mnamtetea bwana wenu
Mm simtetei Iran, ila naunga Mkono Iran kujilinda... Tumechoka ubabe wa USA kuvamia nchi anayo itaka bila sababu zozote za Msingi... Kwanini asiache kila nchi ijitawale?

Kuzima internet au kutozima haiondoi maana kua Iran inapaswa kujilinda.

Israel wakishirikiana na USA hapo Gaza they enforce biological war... Walizima electric & water supply Gaza, wakafunga mipaka hakuna vyakula kuingia, watu wakafa na njaa ikabidi UN apeleke vyakula kwa maparachuti... Baado wamefanya hivyo wakaendelee Kuwaua, kulipu ma hospital kuua watoto wasiyo na hatia... Hapo unasemaje juu ya hao mabwana zako wa USA?

AKINYA KUKU SAFI, AKINYA BATA AMEHARISHA.

STUPID ๐Ÿšฎ
 
Unaipangia serikali? We andaa mafaili uwe advocate wake
Sasa kama wengine wanakamatwa chap na kupotezwa au kufunguliwa kesi kwanini yeye tu aachwe wakati anahatarisha amani ya nchi?? Waandamanaji tu walikamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini. Vipi huyu alieorganize huo mpango yupo tu utaraiani na ushahidi mnao?
 
Aisee... Kabla ya vita.. hizi silaha ukizisikia unaweza kuogopa utadhani teknolojia ya halii ya juu sana.. but nothing.

Kitu kama Iron dome ni utapeli mkubwa sana.

Huyu Marekani akiingia Battle na Mrusi anachakazwa vibaya sana
unazungumzia urusi hii ambayo Leo ina miaka minne imeshidwa kumilki anga la Ukren au Kuna nyingne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ