Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Nchi tajiri??? na wananchi waliandama sababu ya maisha magumu au unazungumzia utajiri gani kitukuu cha marehemu ayatollah
 
Mkuu hukuelewa hoja yangu. Hoja yangu ilikua kwa uliyoyaandika je Iran inasacrifice malori ya kubebea mizinga?
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la maal abad huko Shiraz
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu inashambulia kwa makombora eneo la deh tarkaman mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa
 
Nukuu za gaidi Ayatollah:

Siku ya kiyama irani itapewa upendeleo wa pekee na alah 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…