Duhh Aibu sana 🤣Huyo hata sources za kizushi ,unapoteza mda wako ,huyo habari zake anatoa telegram au Facebook. Leo vyombo vyote vya magharibi vimeripoti baadhi ya maaeneo ambayo mabomu yamehit ardhi ya myahudi, sasa hivi hata hayo mahandaki yanafumuliwa kishenzi.
View: https://m.youtube.com/watch?v=iXUXeIHEVh4&pp=0gcJCY4Bo7VqN5tD
View: https://m.youtube.com/watch?v=URhMKCaLn9Y&pp=0gcJCa4KAYcqIYzv
View: https://m.youtube.com/watch?v=fIQzFdu6RC4
View: https://m.youtube.com/watch?v=dO_M3Lv8jMA
Hamna Tech ya kuzuia Cluster bombs.
View: https://m.youtube.com/watch?v=v55Jpj7jG34
So Iran hata akipiga mawili kwa siku inatosha, hata aliyekuwa kwenye handaki kwa sasa hayupo salama na hapo Iran anakuambia bado hajatumia sila zake bora.
Imefika 70000Bei ya kiroba cha mkaa imefika shingap?.
Dah hadi nimewaonea huruma, na hapo unakuta Netanyahu kajificha sehemu salama yeye na mke wake huku watoto wake wakiwa Marekani Florida(miami).Wako kwemye mahandaki lakini bado wanaogopa
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/1253352289460188
Dah hadi nimewaonea huruma, na hapo unakuta Netanyahu kajificha sehemu salama yeye na mke wake huku watoto wake wakiwa Marekani Florida(miami).
Kumbe mizungu nayo bado mijinga hivi !!? Siwao ndio wanasemaga Waafrica tuna endekeza maombi katika vitu vinavyo hitaji logic na innovation inakuwaje Leo wao wana muomba mungu awakomboe na missile!? 🤣🤣🤣Dah hadi nimewaonea huruma, na hapo unakuta Netanyahu kajificha sehemu salama yeye na mke wake huku watoto wake wakiwa Marekani Florida(miami).
Alicho kisema ni sahihi kabisa Ule sio ulinzi Bali ni tishio kwao it means wakitaka kwenda against na USA watapewa kichapo Kwa kupitia hizo hizo baseRais wa zamani ya Urusi Demitir Medmedevu amezikejeri nchi za ghuba kuwa ziliikaribisha kambi za Marekani kwenye nchi zao kwa lengo kupata ulinzi lakini badala yake sasa zimegeuka kuwa jinamizi kwao na walio mtegemea awalinde amewatelekeza na kuwakimbia.
Iran moto umekata
WA MKAA AU WA GAS....?
Kama ni hivyo Jukwaa hili halikuhusu kabisa!!MIMI SIELEWI YOYOTE MPAKA ANIAMBIE MTU ANAEISHI PALE, YANI UPO MPITIMBI HALAFU UNIAMBIE HABARI ZA U.S.A PALIVYO NA MAISHA YAKE KWA UJUMLA..? UMENICHUKULIAJE BRO, WEWE LABDA UNIELEMISHE KUHUSU PEMBEJEO NA BEI YA KIROBA CHA MKAA
Binafsi siwapendi hawa wa marekani natamani wangefutwa kabisa dunianiKuna watu humu wanaropoka eti Iran anajirushia mabomu ahit target. US analalamika kwamba Russia anamsaidia Iran kwa kumwonyeshea sehemu zilizopo kambi za kijeshi na resources zao. Mpaka US analalamika kaa ukijua Iran ,hajirushii bali tayari coordinates za location za maadui zake zipo kiganjani.
View attachment 3554071
Source ABC news.
Iran imesitisha mashambulizi mashambulizi dhidi ya nchi za ghuba isipo kuwa iwapo itaona kuna tishio kutoka ndani ya nchi hizo na hili limefikiwa baada ya kufanya mazungumzo na Saudi Arabia.Iran moto umekata
🤣Kama ni hivyo Jukwaa hili halikuhusu kabisa!!
Kwa sababu JF inawapenda watu wake basi wewe nenda kwenye jukwaa la Kilimo hilo litakufaa sana maana wewe ni mkulima kwenye Jukwaa hili utachanganyikiwa Bure!!!
Wameishiwa wanaanza kusema Iran anapewa backup siwanasemaga kwamba Russia Hana nguvu !?Tunakuja na visingizio!!!!!!!!!
Russia is helping Iran strike US forces - report
Russia has provided Iran with information that can help Tehran strike the US military, the Associated Press reports, citing unidentified sources.
The Washington Post also reported earlier that Russia is providing Iran with intelligence, citing three officials familiar with the intelligence
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Russia is providing Iran with locations of U.S. warships and aircraft in the Middle East after Iran's ability to locate U.S. forces was degraded, the Washington Post reported, citing three officials familiar with the intelligence.
Reuters | Breaking International News & Views
Find latest news from every corner of the globe at Reuters.com, your online source for breaking international news coverage.www.reuters.com