100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Israel ikubali tu hii vita imekurupuka aisee, kama misile inapiga hadi inachimba na kufumua shelter ina maana kuna miili ya watu hawatoiona.✅ An Indian journalist who returned from Israel revealed a shocking truth:
Even shelters are not safe; people have been killed deep inside them. Iranian missiles sometimes strike without any warning sirens. The Israeli government blocks access to hospitals, hides the casualties, lies about the damage, and does not allow filming.
100 others Khaibar joseph1989 ITR baba-mwajuma RRONDO matunduizi
Mkuu si ulikua unakataa wew pamoja na wenzako kama wazayuni hawaminyi taarifa kwa kiwango kikubwa sasa ujukuu wa ayatollah umefikia wapi😁Wajukuu wa Ayatolah mnapenda kujifariji. Ni kweli kabisa Iran inaifuts a Israel kwenye uso wa dunia.
Ndio hivyo mkuuIsrael ikubali tu hii vita imekurupuka aisee, kama misile inapiga hadi inachimba na kufumua shelter ina maana kuna miili ya watu hawatoiona.
Ngoja na wao wakutane na kile Israel ilikuwa inafanya Gaza.
Endeleeni kujifariji wenzenu wanaumia huko.Mkuu si ulikua unakataa wew pamoja na wenzako kama wazayuni hawaminyi taarifa kwa kiwango kikubwa sasa ujukuu wa ayatollah umefikia wapi😁
Umeona jana Trump anaombewa..Endeleeni kujifariji wenzenu wanaumia huko.
Nimetoka kusema hapa, US na Israel wametoka kwenye lengo la vita ambalo ni kufanya regime change na sasa wanafanya terror bombing.Israel na Marekani wameanza kupanic na kuanza kupiga miundo mbinu ya kiraia mpaka wameshambulia mitambo ya kusafisha maji chumvi alafu Netanyau ana simama na kusema eti ameenda kuwakomboa raia wa Iran,sasa huko ni kuwakomboa au ni kutaka wake na kiu?
Vizuri kwa kuona wazayuni wanavyoumia.Endeleeni kujifariji wenzenu wanaumia huko.
Mkuu wazayuni na marekani wameshakua paranoid.Naona kambi wameachana nazo ,wamepiga mtambo wa maji wa Iran,hii Iran lazima atalipa na tena consequences yake itakuwa ni kubwa.
Wapige tu hilo kinu..Dimona Ving'ora huko, kuna kitu kimetumwa maeneo hayo.
watasema AI au propaganda