Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Nukuu za gaidi Ayatollah khamenei

al Kaaba inalindwa jeshi la kishetani wasio waislam sisi watu wa Iran hatuon umuhimu wa kwenda kule
 
Nukuu za gaidi Ayatollah khamenei

Marafiki wetu wengi hawajitokezi hadharani tunabaki pekee yetu km tumetengwa na dunia lkn hatutarudi nyuma kutengeneza nuclear kwa ajili ya maendeleo yetu
 
Iran anashambulia kila siku meli za mafuta anajisifu, yeye refinery zake zimeguswa tu kidogo anaanza kutoa miguno anaumia 🀭
Hii phase ya pili ya hii vita ni mbaya huwezi fananisha oil refinery na meli ya mafuta na kwa usalama huwezi ruhusu meli hasa za maadui zako huwezi jua wana intention gani. Kuna rumours Iran anaplan kupiga chanzo cha kuzalisha umeme wa nuclear cha Israel nazani uliona series ya Chernobly ya Urusi wakati wakitest cooling system ktk nuclear sites na Iran uwezo huo wanao kwani Cluster Bombs walizorusha juzi hamna hata moja iliyokuwa intercepted.

Tunaingia phase ya pili ambayo ni mbaya sana, tegemea mpaka vyanzo vya maji kulipuliwa.
 
Watu wananifata inbox wananitukana eti niache kuleta nukuu za gaidi Ayatollah khamenei 😁😁

mbna hamna uvumilivu ndugu zangu
Mbona unajitekenya mwenyewe Kuna mtu gani mwenye akili timamu akufuate wewe kipa katoka golini ?

Huoni hata comments zako zinapuuzwa , hakuna reactions wala reply watu washakuona dishi likecheza wanakupuuza ?
 
Zitabaki kuwa tetesi tu na maneno ya faraja kwa pro iran kwa sasa Iran ishatepeta haina tena ubavu huo
 
Pro iran humu kwa kujifariji hawajambo.
Israel analipua miundo mbinu ya nishati ya Iran na anasema kabisaa kwamba kuna suprises nyingi mnoo zinakuja. Yaan ukisoma namna pro Iran wanavyoisifia Iran kwa habari na Picha/video za AI na vyanzo vya habari kama SnS na Dj sama then ukifuatilia vyanzo vya habari vya uhakika basi unaona kabisaa Iran keshashindwa hii vita any time mama Iran anakata roho maana kwa sasa mama Iran anakoroma mikoromo ya mwisho mwisho ile ya kukata roho.
 
Iran ameshapoteza vita..Kilichobaki ni ama kusalimu amri au kuacha nchi yao ibaki magofu kama Ghaza.
Iran keshatepeta now yupo chali mlalo wa kifo cha mende Israel, US now wanafanya finishing na kibaya zaidi now anazidi pigwa mtungo maana UK naye katoa base yake itumike na US na hii vita si mchina, mrusi, n.k anayethubutu kuingiza pua yake maana wanamjua Trump hacheki na kima.
Ayatollah alikuwa mpumbavu yeye alifikiri anaweza shindana na US na Israel huku kinajificha kwenye bunker leo kipo wapi kauliwa ka mbwa mwizi now yupo kuzimu na utawala wake ushaanguka.
Kaua maelfu ya wairan wasio na hatia kwa tamaa zake za kishenzi za madaraka
 
Watu ni wagumu kukubali ukweli..Hivi mtu anga lako lipo uchi wa mbuzi,adui anajipigia tu anavyotaka na wewe unarudisha kwa kurusha vikombora vitano kwa siku.Hapo kama sio teke la mwisho la punda anayekata roho ni nini?
 
Jiwe walilolikataa waashi ndio limekuwa jiwe kuu la pembeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…