gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Muislam anayeuelewa uislam hawezi kuwa mkristo, yaani aache kuabudu Mungu mmoja muumba wa kila kitu aende akamuabudu fundi seremala!?Idadi kubwa ya Waislamu wanaobadili dini na kuwa Wakristo nchini Iran inakadiriwa kuwa kati ya 300,000 hadi 500,000 kulingana na vyanzo mbalimbali. Makadirio mengine yanaweka idadi hiyo kati ya 800,000 hadi milioni 3.
Kwa mujibu wa msomi Ladan Boroumand, โIran kwa sasa inashuhudia kiwango cha juu zaidi cha watu kuingia Ukristo duniani.โ
Kumechangamka
Kwamba vita itachukua miaka!?..hapo vikiisha china anatoa hela,mitambo inasimikwa,moto mchibuyuVituo vya mafuta na gesi vimekishwa hakuna tena njia ambayo serikali ya Iran itapata pesa miradi yao yote imeteketea kama hivyo. ๐๐ฅ
Hiyo bei cha mtoto subiri kitu kizito kinakuja vinchi vya mamaduro kazi wanayoBei imeshapanda,imefika $90+ kwa pipa,na si kwamba marekani, ulaya na Israel hawatoathirika
Saa hii Ayatollah yupo kuzimu anazalishwa na shetaniNukuu za gaidi Ayatollah khamenei
Mwanamke aende shule afundishwe jinsi ya kuzaa tu mengne sio ya muhimu ๐
๐๐๐Nukuu za gaidi Ayatollah khamenei
Baba mzazi ndiye anastahili kutoa bikra kwa binti yake ni suna๐
Kwa hiyo huyo na tweet yake ndio tutamuamini?. This is very cheap
Hii ina uhusiano gani na vita inayo endelea?Idadi kubwa ya Waislamu wanaobadili dini na kuwa Wakristo nchini Iran inakadiriwa kuwa kati ya 300,000 hadi 500,000 kulingana na vyanzo mbalimbali. Makadirio mengine yanaweka idadi hiyo kati ya 800,000 hadi milioni 3.
Kwa mujibu wa msomi Ladan Boroumand, โIran kwa sasa inashuhudia kiwango cha juu zaidi cha watu kuingia Ukristo duniani.โ
Kumechangamka
Ilishawahi fika 140 huko nyumaHiyo bei cha mtoto subiri kitu kizito kinakuja vinchi vya mamaduro kazi wanayo