Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Km sio mitandao ya kijamii tusingejua ukweli wa Vita vinavyokwenda,,!!

kwasasa. Kusema kweli tu kuhusu Vita kutaja Vifo unaweza nawewe kuuwawa au kufungwa ukiwa Israel!!!

Lkn mifumo ya Israel jinsi inavyoshambuliwa ndivo wananchi wataweza kuonesha ukweli wa zaidi.

Hii Vita Israeli inaenda Dondoka mazima. Muda ndio Mwalimu.
 
Bro usitufanye sisi kama mat*k* yako.
Nimetizama Aljazeera ripoti hiyo ililetwa Aljazeera wiki iliyopita kuhusu idadi ya majengo yaliyoharibika kufika 500.
Unazungumza na watu wanaojielewa sio watoto achaa hizo mambo!
Du hast keine Argumente, du liebst PropagandaπŸ–•
 
Elimu ya tanzania ni zaidi ya takatakaπŸ˜€.. so hizi habari za Israel wanazorusha Kila siku wanazitoa wapi?
 
Nipo naangalia series inayohusu Chernobyl disaster.
Ilitokea mwaka 1986 katika nuclear power plant karibu na mji wa Chernobyl, wakati huo ikiwa sehemu ya Soviet Union.
Reactor iliyolipuka ilikuwa RBMK reactor.

Kwa hii vita inayoendelea wasije kushambuliana kwenye vinu vyao tu vya nyuklia maana matokeo yake hayatakua pazuri.
 

mwaka jana Israel na Marekani walipiga Natanz. Iran haikupiga Dimona
 
Eti ripoti zinasema πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Hawa jamaa hawanaga fact kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…