City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Kumbuka Natanz, Kituo hiki kimekuwa kikihusishwa na mashambulizi kadhaa ya siri, katika miaka iliyopita yakifanywa na israel. Na sio mwaka jana pekee, huku mashambulizi haya lengo likiwa ni kuharibu centrifuge na power system za irani. Nasio kulipua reactor kubwa.mwaka jana Israel na Marekani walipiga Natanz. Iran haikupiga Dimona