matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Chumba kinachoendesha vita Iran kinafikiria kufunga eneo lingine zaidi ha hapo Hormoz. Eneo la Bab Al Mandeb. Wakati Trump anatangaza Hormoz pako shwari wao wanaongeza eneo lingine zaidiHazitoboi hizo zitalipuliwa kama za juzi.
Yamekua intercepted
Haaaaahaaa ila Trump mchonganishi sanaπ₯π₯π₯π₯
Trump: Australia mnafanya kosa kubwa kuruhusu wachezaji wa timu ya wanawake wa Iran kurudishwa Iran, ambapo wataishia kuuwawa na serikali. Waziri mkuu usifanye hivyo, wape ukimbizi. Kama hamtafanya hivyo, marekani itawachukua. Ahsante kwa kunisikiliza.
Mkuu hii kutawala vita ni uongo mwingine. Unatawala vita alafu ndani ya nchi yako juu ya anga kuna makumi ya ndege za adui yako yanapiga kila muda yanapotakaInasemekana hadi sasa hii vita anayeitawala ni Iran na anasema haiishi mpaka objective zake zitimie.
Inesemekana licha ya Trump hadharani kuongea kijasiri nyuma ya pazia kupitia third part anawaomba Iran wayamalize.
According to pro Iranian sources
Sasa Trump naye wa kumsikiliza!??Chumba kinachoendesha vita Iran kinafikiria kufunga eneo lingine zaidi ha hapo Hormoz. Eneo la Bab Al Mandeb. Wakati Trump anatangaza Hormoz pako shwari wao wanaongeza eneo lingine zaidi
Picha. Vita vya siku 12 update ya picha vyuma vinavyokuwa intercepted zilikiwa nyingi. Lakini vita hii kimya sana.Yamekua intercepted
Mkuu tatizo ninaloona ni watu kulazimisha jambo fulani. Hakuna namna yoyote utawazuia raia wasichukue matukio na kurusha mtandaoni. Jana nilikua na kazi ya kuwatag waliokua wanasema hivyo waone jinsi WaIsrael walivyokua wanarecord lile tukioPicha. Vita vya siku 12 update ya picha vyuma vinavyokiwa intercepted zilikiwa nyingi. Lakini vita hii kimya sana.
Naona baadhi ya wairan wanajisifu kuwa mdogo wa Netanyahu hivi karibuni kauwawa na makombora na makazi ya Netanyahu mengine yamesambaratishwa kuna ukweli wowote
Kwahiyo assassination ya Netanyahu ndio ushindi wa vita kwa Iran. Kweli nime amini pro USA na wazayuni wengi humu JF mna Psychosis.Mkuu huku watu hawatami maneno wanataka vitendo. Sasa kama hizo Iron dome zimekufa siwawauwe kina Netanyahu? Kuna haja ya kutangaza? Mbona maneno yamekuwa mengi sana?
Hawa ni wachambuzi wa bongo au wa huko kwa wenzetu? Maana wachambuzi wa huku wanajadili kwa ufikiri mdogo sana, sababu katika mazingira ya kawaida tu haiwezekani bomu la nyuklia kutumika Vita hii(Hilo hakiwezekani kabisa)Option za wachambuzi ili hii vita iishe.
1: Us atangaze kusitisha mapigano (kufeli)
2: Lipigwe bomu la Nyuklia Iran
3: Waendelee kurushiana mabomu hadi kieleweke. Iran kwa hilo wanasema wamejiandaa kwa hilo hata wapigane miaka 10 mfululizo. Huwa wanasifika kwa uvumilivu.
4: US na IDF ashushe ground askari Kama Iraq.
sio wabongo mkuu. Ni analyst wa hizi vita wazungu na waarabu. Ila na Nyuklia ilikuwa inatamwa sana mwanzoni wakati Iran anapeleka moto sana ingawa doomsday ya US iko angani nadhani kutisha.Hawa ni wachambuzi wa bongo au wa huko kwa wenzetu? Maana wachambuzi wa huku wanajadili kwa ufikiri mdogo sana, sababu katika mazingira ya kawaida tu haiwezekani bomu la nyuklia kutumika Vita hii(Hilo hakiwezekani kabisa)
Pili kwa kutumia akili ya kawaida marekani anawezaje kutangaza kufeli?
Mkuu vita ni uchumi utambue hilo kuna mtu mwezi hauishi atakata pumzi.Option za wachambuzi ili hii vita iishe.
1: Us atangaze kusitisha mapigano (kufeli)
2: Lipigwe bomu la Nyuklia Iran
3: Waendelee kurushiana mabomu hadi kieleweke. Iran kwa hilo wanasema wamejiandaa kwa hilo hata wapigane miaka 10 mfululizo. Huwa wanasifika kwa uvumilivu.
4: US na IDF ashushe ground askari Kama Iraq.