Naona Russia na Wachina wao wametoa msaada wa kumonitor anga la Iran na kuidentify Millitary resources za US around middle,wanamwambia piga pale,piga kule. CNN huko wanaulizana Iran ,location za resources zao anazipata wapi?
Myahudi baada ya kulipua oil refinery ya Iran,jana Iran kafanya mwana ukome,kapiga badari, oil refinery na vituo vya kuzalisha nishati ya umeme na leo Iran kapiga kambi kubwa ya Airforce iliyopo Qatar. UK washaanza kutoa mlio akiba yao ya gesi inaenda kukata ,na Hormuz pamefungwa, Houth nao waetangaza red sea hakipiti kitu. Hivi vita si ya leo wala kesho,tunaweza toboa miongo zaidi ya mitatu.
Maseneta nao wanawakaanga DoD,wanawauliza lwa nini walianzisha vita bila kuwataaribu allies wa NATO, ili washare maumivu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=ZO8GMXmKAN0Naona wameongeza meli nyingine,hali ni mbaya.
View: https://m.youtube.com/watch?v=C46E2JZ1x6oJapo kuna katazo ya kurusha yanayo endelea upande wa US na Myahudi ila ukisikiliza mijadala na baadhi ya vitu vichache unajua hali ni mbaya.