joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Hamna meli inayopita Hormuz ni China peke yake meli zimeruhusiwa kupita. France nae anafikiria kutoa meli yake ya kivita kwa ajili ya kusindikiza meli, Iran wamemwambua ajaribu then atakipata akitafutacho. Kukuongezea Hotel ambayo waliyo jificha wandiplomasia wa US Bahrain leo imepigwa.Wewe ni liongo liongo.
Kuna meri tatu zimeshapita hapo hormuz zikiwa escorted na jeshi la Marekani.
Jinga Trump pia lilisema jeshi la iran halipo sasa kama jeshi halipo yy anachoogopa ni nini sasaTrump anadai wamekimaliza kikosi chote cha Navy,ila bado wanaogopa kupitisha meli, hapo ndipo ujue propaganda nyingi sana. Yaani uwamalize Navy wote ,ila still unaogopa kupitisha meli.
Usitufanye sisi kama MATAKO YAKO.Wewe ni liongo liongo.
Kuna meri tatu zimeshapita hapo hormuz zikiwa escorted na jeshi la Marekani.
Who is aljazeera?.Usitufanye sisi kama MATAKO YAKO.
Nipo na aljazeera app hadi sasa HAKUNA MELI ILIYOPITA HAPO HORMUZ. KAMA ZIPO TAJA ZA NCHI GANI NA ZINAITWAJE.
Aljazeera is the most reputable news channel in the world.Who is aljazeera?.
Kwamba nikisema DC wa kisarawe ana kibyongo ni lazima maneno yangu yathibitishwa na Aljazeera nje na hapo si kweli?.
Wiki mbili au sio?IRAN Wanataka kuwauwa Viongozi wa Israel kuna kazi kubwa inafanyika ya kijasusi ndani ya Israel
ndiomana Waisrael wanatoa Cctv Cameras mitaan
hali tete sana nilisema mnufaika wa kwanza wa Vita yasasa ni Russia
vikwazo vitaondoshwa vyote ndio mwenye uwezo wa kuongea na IRAN kwasasa,
Russia pia kisiasa na kimkakati hawataki Israel idondoke kwasasa!!!
sivo Israel inaenda kuanguka ndani ya 2week tu.
Nimekaaa pale na mwajuma wangu.
Usitufanye sisi kama MATAKO YAKO.
Nipo na aljazeera app hadi sasa HAKUNA MELI ILIYOPITA HAPO HORMUZ. KAMA ZIPO TAJA ZA NCHI GANI NA ZINAITWAJE.
Aljazeera ni reputable kwa Mujibu wa nini ama nani?.Aljazeera is the most reputable news channel in the world.
Is the number one news channel world wide kiasi cha kwamba mataifa hutumia hiko chombo kuhakiki taarifa ya vyombo vingine kama BBC.
Wewe ujue wao wasijue ambao wapo Persian gulf karibu na Hormuz!??
Unajua kusoma kwa ufahamu?.Taarifa uliyoleta haina tarehe husika uliyosema meli zilipita.
Tena inasema 90% kuna kupungua upitaji wa meli za mizigo na mafuta. Na ZINAZOBAHATIKA KUPITA ni shadow fleet(zinazoweka utambulisho bandia).
Bro ni kizungu hujui ama ni nini??
Tuletee ushahidi wa meli kupita jana kama ulivyodai zikisindikizwa na US navy fleet.
let the caged birds sing.
Hawakuhukumiwa waliwekwa kizuizini pasi na kesi yeyote na 2024 wakaja kutolewa,walishutumiwa kwa ESPIONAGE. Na hilo ni geopolitical motivated kwasababu Egypt na Qatar hawako vizuri kidiplomasia kama hilo hulijui.Aljazeera ni reputable kwa Mujibu wa nini ama nani?.
unajua waandishi aljazeera waliwai ukumiwa kifungo Egypt kwa kosa la kuandika habari za uwongo..sasa wanakuwaje reputable ilhali Kuna tuhuma za waandishi wake kuandika habari za uwongo?
ππππ Alisema watapitisha I wonder till today wanasubiri Nini kupitishaTrump anadai wamekimaliza kikosi chote cha Navy,ila bado wanaogopa kupitisha meli, hapo ndipo ujue propaganda nyingi sana. Yaani uwamalize Navy wote ,ila still unaogopa kupitisha meli.
Madai yako yalisema meli jana zilipita zikisindikizwa na US navy.Unajua kusoma kwa ufahamu?.
unahitaji tarehe ili ikusahidie nini wakati habari inaongelea makadirio?.
insu ni kwamba;meri zinazokatiza straight hormuz nimepungua kwa asilimia kubwa sana lakini bado zingine zinapita..siku haipiti bila Meri hata moja bila kupita.
Muue πUsitufanye sisi kama MATAKO YAKO.
Nipo na aljazeera app hadi sasa HAKUNA MELI ILIYOPITA HAPO HORMUZ. KAMA ZIPO TAJA ZA NCHI GANI NA ZINAITWAJE.
Analeta ushahidi hauna tarehe na ameruka kauli yake ya kusema eti US navy ndio zimesindikiza hizo meli.Muue π
Trump spoke to Putin - then said sanctions on some countries could be liftedvikwazo vitaondoshwa vyote ndio mwenye uwezo wa kuongea na IRAN kwasasa,
Kuna mtu kasema" hakuna meri inayopita straight hormuz".Madai yako yalisema meli jana zilipita zikisindikizwa na US navy.
Au unakana maneno yako!??
Kama zina uhakika wa kupita kwanini ziwe ni shadow fleet??
Na mbona hujaleta ushahidi wa US navy kuzisindikiza!?
Asilimia kubwa ya meli zinazoruhusiwa kupita ni za India,Russia na China.
Shabiki maandazi huyo πππAnaleta ushahidi hauna tarehe na ameruka kauli yake ya kusema eti US navy ndio zimesindikiza hizo meli.
Tena meli zinazobahatika kupita ni shadow fleet(bendera bandia).
Huyu jamaa ana shida kwa kichwa.
Muongo mimi au wewe!??Kuna mtu kasema" hakuna meri inayopita straight hormuz".
mimi nikasema"meri zinapita" hata juzi zimepita nikatoa ushahidi na ushahidi hujaukataa kando na kuzalisha mengine bandia.
aliyesema meri hazipiti hujamuomba ushahidi wala kumtaka akanushe madai yake na hujafanya hivyo si kwa bahati mbaya, bali maksudi kwaaababu waongo mnalindana.