Ukweli Matatizo yoteee kwasasa
Waisrael wanapitia mavita vita yote Vifo vingi vyote vinamkono wa Iran!!!
sasa iweje adui yako unamchapa eti utafute kuacha Vita ¿¿
tujiulize iyo uruma Israel kaiyanza lini mbona hatuoni kwa Wapalestina !!
inawauwa mpaka Vichanga hospitalini!!! Akiwaita Magaidi!!!
kawafungia Msosi kinyume na Sheria zote za kimataifa.
Lkn ni Trump kurusha taulo na kupitia media wakadai wameshinda wao.. haaaaa😄😄
Sasa ndiomana Iran inataka Dunia ijue waziwazi nani mwenye kuomba kusimamisha Vita,
nani kwasasa anachapika nani anaomba maji.😀😀😀