Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

๐Ÿšจ๐Ÿšจ ALL US bases in the Middle East should be CLOSED โ€” they will be attacked: ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran's Supreme Leader Mojtaba Khamenei

KEY TAKEAWAYS from his speech:

๐ŸŒ The lever of blocking the Strait of Hormuz must continue to be used

๐ŸŒ However, we will obtain compensation from the enemy by any means necessary. If they refuse, we will seize their assets to the extent we deem appropriate. Should that not be possible, we will destroy an equivalent amount of their property

๐ŸŒ The Islamic Republic does not seek domination or colonial influence in the region. We remain fully prepared for unity and warm, mutual relations with all neighboring countries
 

Attachments

  • Screenshot_20260312_190818_Telegram.jpg
    102 KB · Views: 13
Badala ya kujibu hoja una ruka ruka tu , Unajua chanzo Cha Iran na USA kuwa maadui tuanzie hapo kwanza !? Unajua kwamba Iran hii unayo Iona Leo imeshawahi kuwa mshirika mkubwa wa USA kuliko hata hizo nchini unazo zitaja !?

Iran wamegoma kuwa puppet wa USA na WA Nchi za Ulaya wamegoma kuibiwa Rasilimali zao na matai
Dadeki ๐Ÿ˜„
 
Hayo ni mawazo yako. Tatizo lenu mnaleta ushabiki huku Iran hakukaliki. Watu 3.2m wamekumbia makazi yao nyinyi mko busy kusema Israel anaficha data.
Kwahiyo israel ndio kunakalika kisa watu wao wanaishi kwenye maandaki kama panyabuku bila kusahau NETAPAKA aliyekimbia nchi huku mke wake na watoto wapo Florida(miami).

Nyie ndio mashabaki na sasa hivi Ayatollah mpya aliyepatikana huyu alikua mwanajeshi na sio soft kama baba yake hivyo kipigo kinavyozidi lazima mtang'oa hadi satellite, Kuminya taarifa.
 
Sawa.
 
Siwezi bishana na mtu anayeongozwa na mihemko. Yaani viongozi wa nchi wanauliwawa kama kuku halafu mnasema mnajeshi? mkuu kuwa serious basi. Utakuwa na upungufu wa akili kuamini Iran anaweza kupigana na Marekan ambaye raia wa Iran wenyewe wanaona fahari kwenda Marekan na hata wewe ukiambiwa uchague ukaishi Iran au Marekan utakimbilia Marekan.
 
Sasa mihemko we unazani kwani Kansela leo kasema hiko hiko, Spain waseme hiko hiko,Italy waseme hiko hiko,wabunge wa EU nao wanazungumza hiko hiko.Wewe ndiye limbukeni ,so wewe ulitaka Iran asireact baada ya kushambuliwa?Halafu ktk miaka ishirini US kapigana vita na nchi saba ,hamna vita aliyopigana peke yake na ndio maana Trump anapush apate msaada kutoka NATO,ila NATO wamemkataa.

View: https://m.youtube.com/watch?v=pgFGtTxfUnU&t=7s&pp=ygUaVXMgcHVzaCBmb3IgaGVscCBmcm9tIE5BVE8%3D
Angalia ulivyo Limbukeni na tahira, so wewe kuishi US unaona deal kisa ni US kama akili zenyewe ndio hizo ,ngumu sana kuendelea,kuna uwezekano hujui hata fursa kwenye mazingira yaliyo kuzunguka.,hauna tofauti na mateja wale wazamani akili zao kuzamia kwenda mbele.
 
Wacha maneno lete mziki!!!!
 

Attachments

  • 20250614_000352.jpg
    79.7 KB · Views: 15
  • IMG_20250423_194025.jpg
    129.2 KB · Views: 16
  • VID-20240928-WA0114.mp4
    10.9 MB
  • VID-20250623-WA0046.mp4
    5.8 MB
  • 1772757880575.png
    78.2 KB · Views: 14
  • 4cbv7fe6ebc3ae2p2la_800C450.jpg
    64.7 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260309-171052_Instagram Lite.jpg
    102.2 KB · Views: 11
  • Screenshot_20260309-171246_Instagram Lite.jpg
    95.5 KB · Views: 16
  • HDGvRGZXYAAEPxA.jpeg
    160.7 KB · Views: 16
  • 20260311_163527.jpg
    1.1 MB · Views: 11
  • 20260311_163505.jpg
    1.6 MB · Views: 15
Hahaa huyu Ayatolah wa sasa Mojtaba ndio anaishi mashimoni kama panya buku hata kutoa speech arekodi anaogopa. Mazayuni sio watu wazuri๐Ÿ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ