Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Swali la mwandishi kwa Netanyahu: je Israel inafanyia kazi kuwapa silaha wapinzani wa serikali ya Iran?

Jibu la Netanyahu: ninasema nikiwa na uhakika kuwa kuondoa uongozi lazima kuwe na juhudi kutoka kwa wananchi wa Iran wenyewe, na tumewajulisha hilo. Tuliwaambia msaada upo njiani
Sitakuambia nini kitatokea mwisho wa siku, sitakuambia. Tunajua na tunaelewa hata nyie mnataka uongozi uanguke
Uongozi usipoanguka, utakua dhaifu sana. Lakini ukianguka suluhisho litakua limepatikana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Netanyahu: hakuna tena ayatollah, nafahamu hamtaki tena apatikane mrithi muovu
Siku zijazo tutawaeleza namna ya kuchukua madaraka yenu
 
Hivyo visingizio vya mafuta ni ujinga mtu mnajazana mkiwa vijiweni

Marekani ni moja ya Taifa lenye reserve kubwa ya mafuta duniani kwenye Ardhi na processed oil

Utawala wa Ayatollah umeongeza MAADUI zaidi kuliko diplomasia nzuri Kwa mataifa mengi sababu za ukorofi wa Ayatollah wa kijinga

Uajemi unaweza kuwa Bora zaidi nje utawala wa kipuuzi wa ayatollah regime
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Netanyahu: kuhusu mojtaba na naem Qassam, kutakua na surprise kubwa. Sitasema baadhi ya njia hapa kwenye hii press. Nachoweza kusema ni kuwa tuna uwezo mkubwa kuliko vile tulovyotarajia, na tutafanikisha kila malengo yetu
 
Soma kwanza hii halafu uje tena
 

Attachments

  • Screenshot_20260312-225400_Chrome.jpg
    109.1 KB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…